Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hayo yalikua ni mazungumzo ya mimi na Dr. Abdullah Hasnuu Makame, mbunge wa EA community aliyenilitea hoja hii tujadili na alifikia tamati ya kumuonglea Magufuli.

Ukifuatilia mjadala vyema, ungeona hoja za Achiliema ni dhaifu, kwakua kuna swala la umbali:


Pia other infrastructural challenges kwenye hiyo corridor kama usafiri wa barabara, ndege, pia ni aina gani ya reli wanayoenda kujenga? Kinachofanyika ni kufufua Reli iliyokuwa imejengwa na Waingereza miaka 100 iliyopita kati ya DRC, Angola 1,700 km railway kwa gharama za $555 million project. Hii hela ndio ilitumika Tanzania kuboresha reli ya kati.

Ni ngumu sana kkwenda sawa na mziki wetu wa SGR double-stack rail, ndege, ports kwenye maziwa, meli mpya za mizigo, mabarabara kuelekea nchi jirani, viwanja vye ndege.


Ndio maana Dr Makame anakubali mziki wa Magufuli kuwa aliona mbali na alifanya yaliyostahiki.

Watu wanazungumzia ku decongest Dar Port wewe unaleta porojo za Magufuli na blaa blaa za Barabara..
Sasa wewe unadekongest Port vipi? imeweezwa hela nyingi sana pale bandarini na Magufuli, na bandari karibia zote zimepanuliwa na mpya zimejengwa, zipo challenges, YES ni ndogo ndogo sana kazi kubwa imeshafanyika.
 
Kwani uwekezaji wa kujenga hayo magati hapo Dar umesimama? Uwekezaji unaendelea.
 
Forget about the World Cup… you are finished… with only one team qualifying…. Morocco 🇲🇦 can field Team B and win this group….see ya in 2030!… 🤣🤣
With proper preparations… Kenya 🇰🇪 can really win Group F…. Ivory Coast 🇨🇮 is not the same it used to be… reminds me of today’s Zambia and Nigeria…. Harambee stars have a shot….see ya in the USA!…
 
Let’s predict all group winners ( automatic qualifiers)….. please don’t pick Bongo against Morocco… it won’t make sense…🤣🤣🤣
 
Yan.. unaleta excuses or assumptions like "with proper preparations", "ivory coast is not the same again", only for Kunyanland to win the group..
but you cant just use the same excuses, reality or assumption, for Tanzania to win the group? Mnawish tu mabaya. Tukisema mna wivu na roho mbaya tunaongea uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…