Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tuusan ushawahi ishi kariobang?[emoji23]
Nmeikuta mahali iyo picha I was like daaaamn[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

It's like pamepigwa radi vile pamechakaa sijaelewa kwann pako ivyo...

That Is nairobi hawatakuonyesha..kumbe makazi yao mengi ni yahovyo tu hii miji ya kiafrica inafanana kwa vitu vya ajabu ajabu karibu yote

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Badae akasema yeye sio shoga...izo ni tabia za kingese aache

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
huyu ni shoga,comment ya kwanza aliiandika with confidence akidhani kwamba angepata uungwaji mkono na wakenya wa jf.

alipoona all members including his fellow kenyans go against him,akajifanya kukanusha...tayari ilikuwa ni too late....ameji-mark mwenyewe kwamba yeye ni shoga.
 
Hadi wenzenu wanakubali kuwa tower zenu mnapenda sana kucopy especially britam inayofanana na one world trading center.
 
majirani poleni sana kwa msiba mkubwa wa gavana wa nyeri,wahome gakuru uliotokea asubuhi ya leo kwa ajari ya gari

naomba isiwe ni ajari ya kutengeneza maana kwa politics za kenya chochote kinawezekana.

btw,tupo rada 24/7 tuki monita kila kinachojiri nchini "kwenyu" japo hampendi....na sisi hatuachi....[emoji23] [emoji23]
 
Sisi tuliuza ng'ombe wao! Huu ndio unafiki wa jirani zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…