Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unavyosema umekuja DAR, umefika DAR wapi.? Ni mwaka gani.? Anyways in case you don't know, jengo la pppf tower lipo Sinza .. hii sinza as of now barabara nyingi zina lami and most of those buildings, ni offices, restaurants, lodges n.k .. ona picha hii vizur zaidi ๐Ÿ‘‡apartments nyingi zinajengwa hapo kwasasa.. Kwakifupi eneo linabalika lenyewe kutoka kuwa mitaa ya makazi ya watu hadi kuwa ni kituvu cha biashara.. hizi baadhi ya picha nimepiga mwenyewe ๐Ÿ‘‡.. kila siku tunawaambieni DAR sio Nairobi .. ukuaji wa Dar kibiashara ni habari nyingine kabisa. Sisi hatusubir mzungu aje ajenge apartments
 
Mbeya inaenda kujengwa road Kali ka ma hiyo ya Sam Nujoma
 
Dah aisee! Journalism ndio fani pekee bongo hata failure wa division zero anaweza kusomea, huu ni upumbavu mtupu watu zero brain kupewa mic waongee mashudu kwa niaba ya taifa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ndio vilaza kama babalevo mashakahola yawahype
 
Yani bongo tabia ya kuwapa umaarufu hawa wapumbavu sijui nani alieanzisha ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ajabu hawa wapumbavu wakishapata umaarufu wananza kujitia umuhimu eti na wenyewe wanazungumzia mijadala ya kisomi ya kitaifa ..
 
Nitakujibu kwa video za huyu Kijana Bertin...(Kijana nitampa maua yake anajitahidi kuonesha uhalisia wa mitaa ya Dar)

Hii video ni ya mwaka huu ikionyesha barabara zilizokaribu na Hilo jengo la PSSPF....ok unaonaje quality ya barabara

Sasa hapa unataka kusema nini!? Yaani huja enda shule, mwenye ameandika stori, ameandika 2020, ila hajasema imeanza lini. Kitu hii imeanza 2014. Maanake, mimi nimekuja Dar 2016, tayari mradi ulikuwa umeanza.
So, unabisha sio 30+ au? Mwaka unahusiana na nini kwenye jengo lililokamilika? Hata kama lilianza 1980 lkn si limekamilika?
 
Nitakujibu kwa video za huyu Kijana Bertin...(Kijana nitampa maua yake anajitahidi kuonesha uhalisia wa mitaa ya Dar)

Hii video ni ya mwaka huu ikionyesha barabara zilizokaribu na Hilo jengo la PSSPF....ok unaonaje quality ya barabara

Huyu bwana bertin hua anavideo nzuri za Dar

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ