Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The report has shown that high end vehicles in Kenya tripled just in the last 1 and a half years
 
Dar is. A one sided city just like Mombasa.
Nairobi is a two sided just like Addis Ababa (360Β°)
Hope kichwa chako kitaelewa such.
 
Mpaka sasa ni 100km zimejengwa ndani ya Kigoma, muimba kwaya ya CCM ichoboy01 anatuambia 1000km πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸΎ
Ndio maana nimekwambia ww ni kondoo alaf unakasirika πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ujenzi ulioko kigomo alone ni sawa na ujenzi wote kenya wa barabara umeomba ushahidi nimekupa unaanza kulia tena
 
Ndio maana nimekwambia ww ni kondoo alaf unakasirika πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ujenzi ulioko kigomo alone ni sawa na ujenzi wote kenya wa barabara umeomba ushahidi nimekupa unaanza kulia tena
100km ndo zimejengwa wakati Isiolo- mandera 850km, umeuona ujinga wako🀣🀣🀣🀣
 
100km ndo zimejengwa wakati Isiolo- mandera 850km, umeuona ujinga wako🀣🀣🀣🀣
Tunaongelea miradi inayoendelea kujengwa nimekwambia kigoma alone ujenzi wa barabara ni sawa na kenya nzima πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Nioneshe hio barabara inayojrngw isiolo mandela nione ujenzi ukiendelea usirudie ile picha uliopost jana ntakuaibisha 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…