mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,460
- 6,886
You still haven’t answered the question…. Typical Bongolala beat about the Bush….. btw.. Kiambu has more wealth than any region of Tanzania outside of Dar… but definitely no comparison in slums…. You are the kings of Uswaziland….🤣🤣🤣🤣Kiambu ni caunty masikini sana hata usafiri wa umma na barabara ni mbovu, hakuna sehemu yenye ahueni ya maisha shakahola
View attachment 2670547
Every town and “city” in your LDC shithole is Uswaziland… taja any place in Bongo and I show you right now…🤣🤣🤣🤣🤣🤣Niliwahi kuwapa home work wataje county moja ambayo haina slum wameshindwa mpk leo, Kenya ni Nairobi tena maeneo machache lkn ukitoka meter kadhaa kutoka Nairobi ni ushuzi kushoto kulia na ndiyo maana mkenya mwenzao Tony254 alipotaka kutoa siri waliogopa mno cz wanapenda sifa ambazo hawana, hawapendi kuishi kwenye uhalisia wao, thus y wana maisha magumu mno ukilinganisha na nchi zingine EA na wasipobadilika tutaendelea kuwaacha.
Kila siku wanapokuja Tz wanakuta ni tofauti na walivyoacha cz sisi tulikubali kubadilika japo matatizo hayaishi, ila wao ni ujuaji uliopitiliza, kila mkenya ni mjuaji ndio maana unakuta vurugu haziishi nchini mwao na miradi hakuna.
Wakundustan ni watu wa ajabu sana, em angalia hizi slums hapo ila sababu kuna vigorofa vya tope hapo wanajizima data kwamba hakuna slums, Mkunya slum kwake ni nyumba za mabati tu, hizi za udongo ni estates 😂😂😂😂Niliwahi kuwapa home work wataje county moja ambayo haina slum wameshindwa mpk leo, Kenya ni Nairobi tena maeneo machache lkn ukitoka meter kadhaa kutoka Nairobi ni ushuzi kushoto kulia na ndiyo maana mkenya mwenzao Tony254 alipotaka kutoa siri waliogopa mno cz wanapenda sifa ambazo hawana, hawapendi kuishi kwenye uhalisia wao, thus y wana maisha magumu mno ukilinganisha na nchi zingine EA na wasipobadilika tutaendelea kuwaacha.
Kila siku wanapokuja Tz wanakuta ni tofauti na walivyoacha cz sisi tulikubali kubadilika japo matatizo hayaishi, ila wao ni ujuaji uliopitiliza, kila mkenya ni mjuaji ndio maana unakuta vurugu haziishi nchini mwao na miradi hakuna.
Weka ushahidi wa kimaandishi unaosema hivyo, Weka list ya nchi kumi zenye slums duniani ukiipata Bongo naondoka jamiiforums.Please don’t even go there… Bongo is 70 % slum… every town and “city” is majority slums… I know you love google search but hate google earth…this 2023 you can lie but you can’t hide the truth….[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatuna 1400+ slums in Tanzania unfortunately 😂😂😂😂You still haven’t answered the question…. Typical Bongolala beat about the Bush….. btw.. Kiambu has more wealth than any region of Tanzania outside of Dar… but definitely no comparison in slums…. You are the kings of Uswaziland….🤣🤣🤣🤣
Hizi ni za mwaka gani? 😂😂😂😂Picha za 2013!!!
Sahiii Kenya yote ni Hiece tupu.
Sasa we umefika Dar gani.? Kama hujui kama Kinondoni manispaa ni kibwa sawa na Nairobi.? 🤣🤣 Unaijua mipaka ya manispaa ya Kinondoni.?Unangoja nini. Leta video ama picha.
Dar nimefika mara kadhaa, mwisho December 2022.
Na ukubwa wake sio hoja. Hoja ni maendeleo yaliomo.
Eastleigh yenyewe sio kubwa lakini iko na highrise apartments mingi kuliko Dar mzima.
Hutaki source kutoka CAF ?😅😅😅mwaka mbaya sana kwenu huuNilidhani umeniletea Fifa world rankings kumbe ni ule ushuzi wa afrika🚮
Kwa majengo manngap munayojenga ?? Hebu sema nikuskie 😅😅😅😅Meza wembe hapo nje. 😂😂😂
Sehemu gani Tanzania mijengo inaendelea hivi? Name Just one estate imefika ata nusu ya Eastleigh.
Give it 10 years huko kutakaa Istanbul. Right now its a construction zone. Wacha Wasomali wamalize kuharibu barabara with the big trucks. Serikali itaingia baadaye.
Chaos chaos chaosDon't worry, we are demolishing dozens of old buildings every year in Eastleigh.
Ona hii video, and if you have time count the number of green nets; buildings under construction.
Then report back here whether there is any similar concentration of green nets in Tanzania, or frankly anywhere in Sub-Saharan Africa.
Ushawafukuza tayar ndio worse slum inayojulikana duniani kibera 😅😅😅 yani mzungu anatoka kwao kuja kushangaa binaadamu anaishia maisha zaidi ya nguruwe
Wamepoteana kweli hata siwaoni 😂😂😂 yule tapeli fake wa marekani ya ketepa anachungulia na kutoka 😂😂😂Ushawafukuza tayar ndio worse slum inayojulikana duniani kibera 😅😅😅 yani mzungu anatoka kwao kuja kushangaa binaadamu anaishia maisha zaidi ya nguruwe
Wewe muulize middle class nairobi wanaishi wapi wakikuinesha nitag mm 😅😅😅😅Sasa we umefika Dar gani.? Kama hujui kama Kinondoni manispaa ni kibwa sawa na Nairobi.? 🤣🤣 Unaijua mipaka ya manispaa ya Kinondoni.?
Idadi kubwa ya Mitaa ya washua ipo Kinondoni manispaa..
Upanga
Masaki
Osterbey
Kinondoni yenyewe
Mikocheni
Kawe
Mbezi beach
Salasala
Mbweni
Ununio beach
Survey
Bunju
Mwengo coca-cola
Makongo juu
Namba kubwa ya watu wa middle class na matajiri in DAR wanaishi wilaya ya Kinondoni.. ambayo ni same size na hiyo Nairobi yote
Halafu uko hapa eti unatamba umeshawahi kufika DAR 🤣🤣
Sasa ikiwa over 60% wanaishi kibera jiulize wengine wanaishi wapi?? 😅😅😅😅 what about mathare, makuru kayaba, kisumu ndogo, umoja, kariobangi etcWamepoteana kweli hata siwaoni 😂😂😂 yule tapeli fake wa marekani ya ketepa anachungulia na kutoka 😂😂😂
Hapo hapo tusisahau kwamba kibera ni 1 tu kati ya ukwasi wa 1400+ slums shakahola iliobarikiwa nao 😂😂😂😂Sasa ikiwa over 60% wanaishi kibera jiulize wengine wanaishi wapi?? 😅😅😅😅 what about mathare, makuru kayaba, kisumu ndogo, umoja, kariobangi etc
In 2006 walikua 1m kibera slum alone😅😅
Na wameajiri mamilioni ya watanzania 😂😂😂 wewe ulikua unatakaje? Chai yenu yote na maua ilioshikilia GDP ushuzi unawajua wamiliki wake?Tanzania Kama hutoki kwa hizi familia basi wewe ni mlala hoiView attachment 2670614