Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,230
- 35,641
Ni kitu cha kupongezwa sana,vingi ninavyoviomba tuvifanye naona vinatekelezwa,atcl now inapiga route za naipori,mahindi kunyan wanunue kama foreigner imetiki,now kwenye kahawa na chai tunawapiga,siku yake naombe CRDB ienee kundustan yote,piga spana hawa mbwa za kutosha
wakunya hawana shukrani, sasa ni kuwapa wanachostahili tuHata udalali mmewakosesha dah East Africa kazi kwelikweli [emoji16]
na wakiendelea na ukiritimba wao wa kuzuia makampuni ya tanzania kufanya biashara kenya itabidi tuanze kuzipiga pin kcb nkNi kitu cha kupongezwa sana,vingi ninavyoviomba tuvifanye naona vinatekelezwa,atcl now inapiga route za naipori,mahindi kunyan wanunue kama foreigner imetiki,now kwenye kahawa na chai tunawapiga,siku yake naombe CRDB ienee kundustan yote,piga spana hawa mbwa za kutosha
Nani amewadanganya mnajua boli๐คฃ๐คฃ๐คฃOh Watanzania sijui hawana sports yoyote wanayoweza mara sijui wanajua football tuu haya sasa we beat you in your own comfort zone(marathon)[emoji91] [emoji91] [emoji91]
Tanzania's Gabriel Geay beats Kenyan duo to win Boston Marathon
Geay clocked 27.49 to take home the gold medal in the event which he outperformed a pair of Kenyan runners, Edwin Kurgat (28:01) and Alex Masai (28:09), to claim the title.www.thecitizen.co.tz
Asante Egypt kwa msaadaA project of this magnitude is equivalent to 20 years of implementing projects in Kunyaland.
Hebu punguza wivu wako๐คฃAsante Egypt kwa msaada
Ni wabinafsi sana,unajua hata taifa gas hawaitaki,sasa hivi wanaikataa azam tv,ni muda wa kuzipiga pin kampuni zao pia,kcb iondoke faster iwapo wataikataa CRDB kule kwaona wakiendelea na ukiritimba wao wa kuzuia makampuni ya tanzania kufanya biashara kenya itabidi tuanze kuzipiga pin kcb nk
magufuli aliweza kucheza nao vizuri, wanapenda kunufaika kwa gharama ya wengineNi wabinafsi sana,unajua hata taifa gas hawaitaki,sasa hivi wanaikataa azam tv,ni muda wa kuzipiga pin kampuni zao pia,kcb iondoke faster iwapo wataikataa CRDB kule kwao
Hawa hapa ๐๐๐๐ ๐ ๐Nani amewadanganya mnajua boli๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hawa ndio waliotudanganya ๐ ๐ ๐ ๐Nani amewadanganya mnajua boli๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kama imeingia na inauma chomoaAsante Egypt kwa msaada
Enhhh imekua msaada tena ๐ ๐ ๐ ๐ ๐๐Asante Egypt kwa msaada
Kenya mnachakujifunza nini maana ya miradi mikubwaAsante Egypt kwa msaada
Iyo ppp inasaidia nini wananchi wa chini?Sawa na Tz vs Ke, Tsh 1000 Tz ni sawa na Tshs 5,000 kule Ke.
Mradi mkubwa ambao hauna wateja.Kenya mnachakujifunza nini maana ya miradi mikubwa