Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haka ka list ni ka mchongo mbona hakiendani na hali halisi? [emoji16]
 
Panatakiwa a dual Cariage way Arusha - Moshi.. njia hii iko busy sana .
Panatakiwa pia Light rail commuters kati ya Moshi na Arusha Via Kilimanjaro International Airport.
Dual road iko kwenye plans phase ya kwanza ndio hiyo ya arusha second phase ni mpaka holili with a new kikafu bridge na tourist Centre hapo maeneo ya kikafu.

Light rail will be good too.
 
C'mon as if ushawahi kuona real estate in Kenya imeslow down. What is happening ni normal real estate cycle occasioned by demand in specific sectors. Saa hii kuna huge demand in residential and mixed developments na ndo zinajengwa kwa kasi. Ukiangalia kwenye sectors zingine kama retail na office space kuna slow down kwasababu ya oversurply, ndo maana malls hazijengwi kwa pace iliokuwa hapo nyuma
 
Kwan wewe ulitakaje ?? Mbona kuna barabara zina jina lake ??

Mkuu , nadhani inatosha sasa . Alikuwako Mwalimu Nyerere alikuwa na Moyo wa dhahabu, aliwasaidia mataifa ya SADEC wakiwemo hawa wapumbavu sana tena kwa kiduchu kilichokuwepo wakati huo, Jambo hili liliturudhisha nyuma mno kiuchumi, kama vile ile East Africa Union miaka ile ya kina Charles Njonjo na Jomo kenyata the chief Founder of Land Grabbing and public property looting, sasa tunaona namna hizi takataka kama za Zambia zisivyokuwa na shukrani. Kwa sasa kila mtu apambane na hali yake. Uwanja wa utopolo uitwe hata kwa Jina la Professor Janabi au hata Mzee Mpili Stadium au Mama Samia Stadium . Potelea pote
 
Yaani uwanja wa Tz uitwe kwa Jina la Rais wa Wale wapumbavu wasio na Shukrani wa Kule Nakonde, doesn’t make any sense, kwanini tusiuite hata Bibi Titi au Hata Jangwani Stadium?
Kaunda ana historia na Yanga. Na nafikiri ndio aliye wajengea jengo la Yanga pale Jangwani. Hivyo ni sawa kumpa heshima yake, Kenneth Kaunda.
 

Hivyo vinchi kiukweli ni vya hovyo mno.
 
Your economy is in recession hizo demands zinatoka wapi ama kwenye black economy?
 
Your economy is in recession hizo demands zinatoka wapi ama kwenye black economy?
Kenya is not in recession, umeona wapi kenya ipo kwenye recession?? Kenya ipo na a sizeable middle class population demand will always be there
 
Kenya is not in recession, umeona wapi kenya ipo kwenye recession?? Kenya ipo na a sizeable middle class population demand will always be there
Dwindling exports, below par tax collections, mountains of debts, government unable to provide social services and pay salaries unataka kuniambia bado kuna growth hapo, Kenya operates a black economy and it has always been.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…