Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Putin hajaenda kokote bro yupo moscowπŸ˜… ukipata official source nitag bro
Didn’t you say the same thing about Mangufuli when we told you it’s over?… keep waiting for the white smokeβ€¦πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Didn’t you say the same thing about Mangufuli when we told you it’s over?… keep waiting for the white smokeβ€¦πŸ€£πŸ€£πŸ€£
So what ulitaka asife as long ni binaadamu au?? Haya tusubiri hakuna shida mm nimecheka sana leo 😁😁😁😁😁 mungejua hvi vita vinavoendelea ukraine ndio mwisho wa europe na USA hata msingekaa mukaongea humu
 
Nakusikitikia kwakua huna akili, mbaya zaidi, hata akili za kutaka kujifunza pia hazipo.

Hata sijui nini unashangilia. Ungejua maana halisi ya kinachoendelea, ungesikitika sana.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Naona Warusi wa Namanyere mumeanza kutoka mapangoni 😁😁

Ndio kwanza kazi imeanza
 
Hivi unajua hata mapinduzi yanavyofanyika??

Hiki ni kikundi cha wanajeshi waasi chenye idadi ya askari 25 000. Unapinduaje nchi kwa mfano? hawa mamluki wamepewa hela kufanya huu uhuni ambao utapita soon.
Mtajua beberu Marekani ni Beberu kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œ

Kamata huyo mbwa Putin age kama Gadafi Nasikia kakimbilia Beralus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…