chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Ujue wanakuja na uchumi hawa, accommodation, utilities, fees, living expenses za hapa na pale ni mchango mkubwa kwenye microeconomics, India ina percent nzuri ya education tourism kwenye uchumi wakeKwa hivo wakiamishwa Muhimbili inamaanisha Muhimbili ni bora? Mbona basi hawakuamishwa Cape Town ambayo ni bora Afrika? Mbona hawuamishwa Havard ambayo ni bora duniani kwa sasa? Huwa mna reasoning ya kipuuzi sana nyinyi. University za Kenya sio za kuingia tu kiovyoovyo.
Hapo unaandika huku kiroho kinakuuma angalia isife tuMahali dar ilishindwa hii downgrade ndo itaweza🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 2665485
Unaiongeleaje extended canopy, hebu toa mawazo yako...Mahali dar ilishindwa hii downgrade ndo itaweza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2665485
Tulia iishe utaelewaMahali dar ilishindwa hii downgrade ndo itaweza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2665485
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tusiombee hivyo aisee! Dah!Selling lazima iwe hivyo ila buying imefika 16.4, mwanzo buying ilikuwa 18 alafu selling 23. Mwezi ujao itafika 15, after this year itagonga 9 mpaka 5. After two years kwa mwendo huu itakuwa 0... Mana ni free fall hii.
Wivu utakuua [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mahali dar ilishindwa hii downgrade ndo itaweza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2665485
Lazima ishuke madeni ni mengi kuliko GDP [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tusiombee hivyo aisee! Dah!