Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Baada ya kichapo toka kwa Alshabaab kuongezeka, Kenya yaamua kuondoa wanajeshi wake toka Somalia.
 
Ila kwenye selling bado ipo juu! Sehemu nyingi ni 18! Sijui inakuwaje kwenye hili.
Selling lazima iwe hivyo ila buying imefika 16.4, mwanzo buying ilikuwa 18 alafu selling 23. Mwezi ujao itafika 15, after this year itagonga 9 mpaka 5. After two years kwa mwendo huu itakuwa 0... Mana ni free fall hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…