Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

such ugly aerial view can never be in The world class city of NAIROBI.....5th world tanganyika....these are the middle class of tanganyika View attachment 2657831View attachment 2657832
Wewe nyagau mbona msahaulifu sana? Yaani kwa maana hiyo unataka kutuaminisha kuwa pipeline, kibera na mathare ndio zinaweza kuwepo kwenye world class city sio!!!!
 
This [emoji3516] one I agree…… though I wasn’t feeling UDA during the elections, i believe in democracy… the guy won… let him execute his policy… if he fails, he will meet his Waterloo in 2027…. Period!
Akili ya kitumwa hiyo why waterloo and not mau mau? Who knows Waterloo or how many audiences in Africa know about Waterloo? Mambo ya wazungu waachie wao wenyewe hayatuhusu huku.
 
Uniambie mm sehemu gani sijafika kenya ?? Mm turkana na lamu ndio sijafika ila kwengine kote nimefika na huna cha kunidanganya hapa 😅😅😅😅 sasa huyo huyo baba levo alisema yuko tayar kumzalia diamond utasema akili zimo humo

Zanzibar ni sehemu ya tanzania najua hua inawauma lakini vumilieni kama vile mombasa ni sehemu ya kenya 😅😅😅

America of africa ambayo mzungu anatoka kwao anakuja kushangaa slum hajawah kuiona kwenye maisha yake yani slum zenu nikama tourism kwa wazungu 😅😅😅
 
Kenyan economy USD USD 80bn madeni. Uchumi halisi wa Kenya haufiki hata USD 30bn simple mathematics sasa sijui unaongelea uchumi gani hapa.
107b alaf over 80% ni debt to GDP ratio yani nchi haina hata uwezo wakulipa mishahara ya watu kwa wakati 😅😅😅😅

Haina uwezo hata kujenga 1km of SGR alaf muko hapa kupiga kelele 😅😅😅
 
Dar es salaam
 

Attachments

  • Screenshot_20230615-085149.png
    300.7 KB · Views: 23
  • Screenshot_20230615-085143.png
    333.7 KB · Views: 22
  • Screenshot_20230615-085138.png
    311.4 KB · Views: 26
  • Screenshot_20230615-085149.png
    300.7 KB · Views: 23
Wewe nyagau mbona msahaulifu sana? Yaani kwa maana hiyo unataka kutuaminisha kuwa pipeline, kibera na mathare ndio zinaweza kuwepo kwenye world class city sio!!!!
Unalinganishaje pipeline na huo uswazi wenu, wewe ni mwendawazimu
 
You got to love the job that sustain your existence of course 😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…