Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kesho utawaskia wakisema bongo fleva ni yao ilimradi tu sifa ziwe kwao kila kizuri duniani ni chao πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Ile ishu ya sportpesa naona bado inakuuama,🀣🀣🀣 hata hii bongofleva tukichunguza tutapata ilianza Kenya.
 
Kibera ya leo Ina dual carriageway katikati, inaitwa missing link road.
Utasema vibanda vya mbwa daah watu wanaishi kama wanyama wamekimbia ushagoo .

Au mnatumia hizo slums hapo capital city as a tourist site Kama vile hio national park ?

Maana foreigners Hata celebrities Kama 50 cent na Michael rainey jr walishawahi kupiga picha huko kutuonyesha dunia Africa ikoje . Sasa sijajua ndio platform ya kuonyesha dunia Africa is a big village [emoji16]
 
Kibera ya leo Ina dual carriageway katikati, inaitwa missing link road.
Still dual carriageway haiwezi zuia watu huko kunya kwenye magazeti [emoji16] si ajabu hata vinyesi wanatupa kwenye road ustaarabu wa watu wa huko ni kama nyumbu ndio hao vijana Raila ana wa sacrifice kwenye maandamano yake
 
Ile ishu ya sportpesa naona bado inakuuama,🀣🀣🀣 hata hii bongofleva tukichunguza tutapata ilianza Kenya.
Ile ishu ya sportpesa naona bado inakuuama,🀣🀣🀣 hata hii bongofleva tukichunguza tutapata ilianza Kenya.
Ndio mulivojidanganya au nikuoneshe mmliliki wa sport pesa ni nani ??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

HQ iko liverpool sport pesa mali ya watu bado munajinadi ni yenu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ndio maana technology kila siku inawaumbua

Si yaleyale yakusema DTB ni mali ya kenya wakat mali ya agakhan πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Still dual carriageway haiwezi zuia watu huko kunya kwenye magazeti [emoji16] si ajabu hata vinyesi wanatupa kwenye road ustaarabu wa watu wa huko ni kama nyumbu ndio hao vijana Raila ana wa sacrifice kwenye maandamano yake
Na haitabadilisha ukweli kua kibera ndio worse ever and biggest slum on planetπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… na akibisha tu nishtue
 
Tumejenga ahero interchange sehemu ambayo itahitaji miaka 50 ijayo haya tuendelee kujionea πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Na haitabadilisha ukweli kua kibera ndio worse ever and biggest slum on planetπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… na akibisha tu nishtue
Ukitumia ile data kwamba kibera Ina watu 2.5million basi ni kweli kabisa🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…