Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umekomalia Kenya tuu, huoni niliposema tumepata wateja kutoka Zimbabwe, vivi kuhusu 70% ya magari kwenya nje ya nchi?
Lazima kuwepo na kipimo Cha kufanya vizuri ambacho kimekubalika duniani, ufanisi wa bandari unatokana na uwezo wa bandari kuhudumia Meli kwa haraka ifikapo bandarini(Waiting time).

Kiwango kinachotakiwa kimataifa Cha muda wa kusubiri meli kabla ya kuingizwa bandarini(waiting time) ni siku Moja na nusu(1.5), sisi hapa Dar port (waiting time)ni siku 5. Muda unaotakiwa wa Meli kushusha mzigo (off loading time) ni siku Moja, sisi hapa kwetu ni siku 3, Sasa mkuu tutawezaje kupambana?.
 
Kwasababu hiyo ya uzembe na ukiritimba uliokithiri serikalini, ndio sababu serikali inatafuta wabia Ili waendeshe hiyo bandari.
 
Bado umekwamilia ripoti ya (WB) ambayo imekua debunked kama ya upotoshaji au kisa imeiweka dar port juu ya Mombasa!? Huwezi kusoma majira ukaona kwanini ni dar port inauzwa na sio Mombasa. Hata hio Djibouti Nina mashaka nayo lazima mchina anaifyonza.
 
Ndio na hii ndio sababu tunataka kujenga viwanja vyenye hadhi sasa .. ajabu nyinyi mnajenga maupuuzi tuliyofanya sisi miaka 50 iliyopita 🤣🤣🤣
Lazima uanze na grassroots stadiums ndo ufike kwa viwanja vikubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…