REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,663
- 11,662
Mkuu, tunaomba ushahidi.
https://www.facebook.com/Hizo nyaya zinazo onekana zikining'inia ni sehemu za kupachika Screen za Kuonyesha vituo.
Mkuu umeona hiyo clip Kadogosa anasema kuwa kutakuwepo na TV za kuonyesha vituo, na hizo sehemu ambazo nyaya zinaonekana ni sehemu ambazo tayari Kuna vyuma vya kushikilia TV, nadhani hata wewe unaona.Kuhusu hizi nyaya nilikutumia post muda tu, nayajua haya makitu vizuri tu. Na geza emekuoneshea picha ya jinsi yalitakiwa yawe baada ya kufanyiwa ukarabati na sio yalivyo sasa.
View attachment 2655199
Umetumiwa picha za kila aina ya jinzi hizo behewa zilitakiwa kuwa baada ya kukarabatiwa na hizi chini picha nyingine za zilizo karabatiwa. Behewa hazina hata meza, wewe vipi? usilazimishe wengine wakubaliane na wewe kwakua tu ni mshamba.
Bandari haijauzwa!! Wala mkataba bado! Mbona mmeng'ang'ania vitu vya ajabu!!
Hatuna tatizo na uwekezaji, bali uwazi wa mikataba, watanzania tunataka kujua muda wa mkataba, na masharti ya kuvunjwa kwa mkataba kama tukishindwana mbele ya safari. Ni kwa nini hayo hayajawekwa wazi kwa wananchi? Ndiyo maana watu wanakuja na hitimisho la kuuzwa.Africa Kuna watu wana vichwa vigumu Sana.
Mkuu, mbona umeambiwa bado hakuna mkataba ulikwisha ingiwa kati ya Tanzania na hao DPW?, Sasa huo muda wa mkataba utatoka wapi Kama mkataba wenyewe bado haupo?. Mkuu umemsikiliza Zitto kwa makini?, umefuatilia mjadala wa bunge vizuri?.Hatuna tatizo na uwekezaji, bali uwazi wa mikataba, watanzania tunataka kujua muda wa mkataba, na masharti ya kuvunjwa kwa mkataba kama tukishindwana mbele ya safari. Ni kwa nini hayo hayajawekwa wazi kwa wananchi, ndiyo maana watu wanakuja na hitimisho la kuuzwa.
Si Mbarawa wala Azim Dewji aliyefafanulia kuhusu muda wa mkataba, tena Dewji (namuheshimu sana huyu mfadhili wetu wa zamani wa Simba, ila hili hapana) ameenda mbali na kusema, eti serikali haitakiwi kuelezea yote yaliyo kwenye mkataba kwasababu wengine (zaidi ya DP World) wanaweza kuwapiku , sasa kupikuana si ndiyo demokrasia yenyewe, au nyinyi mmekuwa hamuanini tena katika demand and supply?
Masikini akipata....Simba tulishawahi kuwa na makombe matatu mwaka 1993, kipindi kicho tukiwa na kocha mchezaji Hassan Hafif, sijui hata kama umewahi kumsikia.😅😅😅😅
Mbona wametumia nguvu nyingi kutuelezea faida za huo uwekezaji kabla ya mkataba kusainiwa? Tutajuaje kama makataba utahusisha hizo faida?Mkuu, mbona umeambiwa bado hakuna mkataba ulikwisha ingiwa kati ya Tanzania na hao DPW?, Sasa huo muda wa mkataba utatoka wapi Kama mkataba wenye bado haupo?. Mkuu umemsikiliza Zitto kwa makini?, umefuatilia mjadala wa bunge vizuri?.
Mkuu, onyesha TV na meza katika hizi train za ghorofaKuhusu hizi nyaya nilikutumia post muda tu, nayajua haya makitu vizuri tu. Na geza emekuoneshea picha ya jinsi yalitakiwa yawe baada ya kufanyiwa ukarabati na sio yalivyo sasa.
Umetumiwa picha za kila aina ya jinzi hizo behewa zilitakiwa kuwa baada ya kukarabatiwa na hizi chini picha nyingine za zilizo karabatiwa. Behewa hazina hata meza, wewe vipi? usilazimishe wengine wakubaliane na wewe kwakua tu ni mshamba.
Medali gani ya abiola au?? 😅😅😅Masikini akipata....Simba tulishawahi kuwa na medali tatu mwaka 1993, kipindi kicho tukiwa na kocha mchezaji Hassan Hafif, sijui hata kama umewahi kumsikia.
Pa1 broNiliifuta ile mkuu.
Lengo la serikali ni kutafuta muwekezaji kuiendesha hiyo bandari baada ya waendeshaji waliokuwepo kumaliza mkataba wao(TICS), serikali inalazimika kabla ya kufanya hivyo, kupeleka bungeni Ili bunge liridhie.Mbona wametumia nguvu nyingi kutuelezea faida za huo uwekezaji kabwa ya mkataba kusainiwa? Tutajuaje kama makataba utahusisha hizo faida?
Tulikosa kwa stella ila uliza tulichowafanya waganda kwenye cecafa, challenge na ligi kuu?Medali gani ya abiola au?? 😅😅😅
Bro, Kenyans huwa wanatabia za kujisifia kwenye suala la investments in real estates, we last month kwenye kufanya research zangu .. nikagundua baada ya SA hakuna taifa in Sub Saharan Africa linaeza rival Namibia.. take a look [emoji116]. Afrika kuna mataifa yameendelea bhana
Kama tuliweza kuiboresha bandari na kuongeza ufanisi sisi wenyewe bila ya mwekezaji, kulikuwa na shida gani kuboresha changamoto ndogo ndogo mpaka kutafuta mwekezaji mwingine? Miaka 30 ya TICS walichimba hata cm moja ya kina?Lengo la serikali ni kutafuta muwekezaji kuiendesha hiyo bandari baada ya waendeshaji waliokuwepo kumaliza mkataba wao(TICS), serikali inalazimika kabla ya kufanya hivyo, kupeleka bungeni Ili bunge liridhie.
Wakati serikali inaomba bunge liridhie, ndio kelele zikaanza, wapotoshaji wakasema bandari imeuzwa, serikali ikalazimika kutumia nguvu kubwa kuwaelimisha wananchi ambao tayari walikua katika taharuki na hamaki kubwa.
Again ficha upumbavu!Nilijua utalipuka. Huyo jamaa anashutumu kwamba Kuna rushwa ilifanyika baada ya kufa Magufuli Ili watu wapige pesa, anatoa shutuma bila ushahidi wowote, ndio ninemuuliza hayo maswali, hukupaswa kupanic na kutoa matusi, ungekua na busara, ungesaidia kumuambia huyo bwana athibitishe madai yake dhidi ya rais.
NB; TV za kuonyesha vituo zitakuwepo, hizo nyaya zinazo onekana na kulalamikiwa kwamba ni Rushwa, ndio sehemu zitapachikwa TV
https://www.facebook.com/
Mkuu, mawazo Kama hayo kuwepo katika jamii, ndio sababu serikali inalazimika kupeleka bungeni Ili kutoa ufafanuzi kwanini inataka kufanya hivyo, bunge likielewa na kukubaliana na serikali litapitisha, lisiporidhika litakataa.Kama tuliweza kuiboresha bandari na kuongeza ufanisi sisi wenyewe bila ya mwekezaji, kulikuwa na shida gani kuboresha changamoto ndogo ndogo mpaka kutafuta mwekezaji mwingine? Miaka 30 ya TICS walichimba hata cm moja ya kina?