babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,429
- 36,046
Namuona Mbowe kama Mbowe humu [emoji23][emoji23]
Jiulize mbona hakuwa watu wenye pesa kutoka Malawi,Burundi, congo Uganda etc wanaenda kutibiwa Dar but nairobi always.Waganda wanajua magufuli alipofia😂😂😂😂
Kama kawaida yenu kupenda kudanganya, Nkurunzinza hajawahi kufika Nairobi kutafuta matibabu, ni mke wake ndiye aliyekuja Nairobi wakati mumewe alibaki Burundi na kufarikiJiulize mbona hakuwa watu wenye pesa kutoka Malawi,Burundi, congo Uganda etc wanaenda kutibiwa Dar but nairobi always.
Na wako hapa wanajisifu but Zero kwa ground.
Ndio maana cholera haiishi huko.Yaani Naislums ni kawaida sana kukuta mito inayotiririsha maji ya vinyesi, ukifuatilia chanzo cha mto unakuta ni maji ya chooni. [emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Halafu wanapanda mboga mboga kando ya mto wa kinyesi.
Hivi ninyi hakuna kabisa namna mnaweza kuishi bila slums?Nakuru haina mpinzani in Tanzania outside dar
Ushahidi gani unataka wewe? are you dead, don't you have eyes and brain to perceive and figure out?Una ushahidi?, Kwahiyo unataka kumshutumu Samia Suluhu Hassan kushindwa kusimamia vizuri baada ya Magufuli kufariki?, au unataka kusema Makame Mbarawa aliletwa makusudi na SSH Ili kuja kumuwezesha mama Samia aweze kupiga pesa vizuri kwa sababu ni mzanzibar mwenzake?
Geza Ulole
Ficha upumbavu!Una ushahidi?, Kwahiyo unataka kumshutumu Samia Suluhu Hassan kushindwa kusimamia vizuri baada ya Magufuli kufariki?, au unataka kusema Makame Mbarawa aliletwa makusudi na SSH Ili kuja kumuwezesha mama Samia aweze kupiga pesa vizuri kwa sababu ni mzanzibar mwenzake?
Geza Ulole
Kama kweli hawa DW wanajali uhuru wa wananchi mbona hawatetei malalamiko yao kuuzwa kwa bandari?
Hivi ile plan ya Anheuser-Busch InBev kujenga Brewery Dodoma ilifia wapi?Waongoze kasi za viwanda sema serikali inazingua sana
Viwanda viwe vingi mbalimbali wasiishie hicho cha pombe ili wakulima wauze kwa sana malighafi ndani na nje hapo tunapunguza ku import . Hizi nido, blueband , nakadhalika .
Hapo inakuwa game over
Kataneni shingo basi maana hicho mlichokipata ndio kinaendana na pesa mliyolipa..Ushahidi gani unataka wewe? are you dead, don't you have eyes and brain to perceive and figure out?
Hzi behewa unafikiri nataka nikaweke chumbani kwangu? wewe huoni nyaya zinaning'inia?? tunataka kilichokizuri kwa wote na sio huu ujinga wakati hela zimetumika.
Kwa kumimina Ajira Samia ni 💯💯🔥🔥
Ni kweli ila tutazoea tu kama Wimbo wa Taifa kwa karibu yanavutia niliyaona yale ya MGR.sijapenda color design ya hiyo trc
No wonder Watz wana life span ndefu over Kenyans.Wapi Dar Es Salaam kuna mto unatiririsha kinyesi miaka na miaka?
Mkunya akishakula hizi mboga za kinyesi akija humu ni kuandika tu ukinyesi.