chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Kidunda dam way bigger than that pothole mara 2 na litazalisha mpaka megawatts 20 za umeme though it's main objective is to supply water Dar na kilimo litagharimu ksh 19 billion 😂😂😂😂 hivi ninyi mashakahola mtaibiwa mpaka lini?Buda hii dam ipo under construction na inacost ksh 82b. Inaitwa thwake dam enda ujifanyie research kama nadanganya am done arguing na madwanziView attachment 2649731
Duu Hadi makazi kwa Kenya ni miradi ya kitaifa huku bongo hiyo ni miradi ya halmashauriKuna madwanzi hapa kwa kuwa tumenyamaza wanadhani hakuna kitu kinaendelea
Hii ni mojawapo ya dams 5 ambazo zipo under construction sasa hivi Kenya kutumika katika irrigation na matumizi ya nyumbani
Hii dam pekee itapeleka maji kwenye households 2m pamoja na kuweka ardhi ekari maelfu under irrigation
View attachment 2649402
Mombasa itakua served na commuter rail kama Nairobi tu pale ujenzi utakapomalizika
View attachment 2649409View attachment 2649408
Interchanges sisi hatujengi Nairobi tu,
Kuna hii nyingine inajengwa Mombasa
View attachment 2649410
Na hii eldoret
View attachment 2649411
Port ya lamu inazidi kupokea vifaa kuiwezesha kuanza full operation
View attachment 2649414View attachment 2649415
Kuna miradi ya viwanja, affordable housing, konza na tatu cities etc. Alafu unaskia machizi hapa wakisema kenya haina miradi ya kimkakati kukomboa uchumi( whatever that means)
Yameleta impact gani kwenye water supply na kilimo chenu? Hizo ni corruption schemes, ukienda saivi hukuti hata reservoir ya gallon 10Because you lack information. Dams nyingi zimeanza kujengwa in the last regime
Thwake
Thiba
Karimenu
Mwache
Itare
Koru sonu
Sawa kaka, ile tunatumia kwenye kupata GNP lakini kwenye GDP tunaitoaKwenye GDP, hiyo "D" inataka kipato kiwe kimezalishwa ndani ya nchi(Domestic)
Duuu kwaiyo remittance ndo uchumi?Wanigeria wanatuma nyumbani hela zaidi ya budgets za nchini nyingi ukanda huu [emoji50]. Alafu utaskia machizi mengine hapa wakisema proudly uchumi wa nigeria ni mkubwa on paper
Africa's Largest Remittances (Money Sent Back Home by Citizens Abroad) in 2022
1. Egypt - $32 billion
2. Nigeria -$21 billion
3. Morocco - $10.75 billion
4. Ghana - $4.7 billion
5. Kenya - $4.027 billion
6. Tunisia -$3.044 billion
7. Senegal - $2.9 billion
8. Ethiopia - $2.5 billion
9. Algeria - $1.829 billion
10. Zimbabwe - $1.66 billion
11. Uganda - $1.1 billion
Tatizo hawa mashakahola yanapenda kutajiwa figure kubwa lakini kwenye project realization ndio wanaanza kulia kilio cha samaki machozi kupotelea majini sababu pesa zinakua zishayeya 😂😂😂Huyo achana naye, hana lolote analojua zaidi ya kujipiga kifua, serikali ya Kenya haina mradi wowote inayojenga kwa pesa zake wenye kuzidi $500M Ukiacha Lamu port. Hakuna dam yoyote hapa Afrika nzima iliyojengwa kwa kiasi hicho Cha pesa.
Halafu hicho kizungu chao cha ugoko sasa🤣🤣🤣Failed state
Infalation? Umeamua kuwatukana kabsaa?Go go infalation 👏👏👏
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Infalation? Umeamua kuwatukana kabsaa?
ila kaka hapa unaenda fongo jina tu la GDP linakataza ku-include Remittance! Sasa sijui unataka maelezo gani! Vitu vingine potezea!Remmitances haisabiwi katika GDP, hivi huko kwenu elimu yenu ikoje?.
1)What is GDP?
2)How GDP is calculated?.
picha ya wakati jengo linajengwa long time agohehehe.....eei hata kama mnaforce battle
Nyinyi ndio mnajenga sisi lipo design hilohehehe.....eei hata kama mnaforce battle
Kwani hii Nissan ni model ya 1993😅Nyinyi ndio mnajenga sisi lipo design hilo
Arusha
Ninachoipenda Tanzania yaani Ni slowly but for sure [emoji1787] hatubahatishi mnawahi miradi sijui mnakimbizana na nani halafu inakuwa hasara kwenu kama sgr mna uoga sana [emoji1787]View attachment 2650223
Unadhani ni lile lenu linalovuja moshi ambalo viongozi wenu wamefanyia ufisadi hapo hapo [emoji1787] daah na wamejua kuwachezeaKwani hii Nissan ni model ya 1993[emoji28]
Utapata iliingia Dar port less than 3 yrs ago