Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,145
- 33,019
Kuna maalshabab kibao yamejificha humo. Ngoja yaanze kujitokeza tuone utakavyoanza kulia lia wewe mshakahola🤣🤣🤣Eastleigh is very fast turning out as a city within a city.
NHC is stating that, it has been approving at least 50 high-rise building projects of 16-20 per year for the last 4 years.
So currently, about 100 plus projects are under construction in Eastleigh making it the most active city construction zone in Africa.
View attachment 2649324View attachment 2649325View attachment 2649326View attachment 2649327View attachment 2649328View attachment 2649329View attachment 2649330View attachment 2649331View attachment 2649333View attachment 2649334
Kwaivo unabisha hizi miradi hazifanyiki au what's your point?Pesa mnatoa wapi kutekeleza hiyo miradi wakati hata pesa ya kulipa salaries na kupeleka katika counties hazipo?, Wacha kudanganya watu, Kama Galana Kulalu hadi Leo mumeshindwa kupata pesa, hiyo yote unayosema ni maneno matupu, hakuna kitu mnaweza kufanya.
Miradi miwili pia unaongea sana broKwaivo unabisha hizi miradi hazifanyiki au what's your point?
I mentioned that a while ago while discussing DRC… am privy of inside details I can’t talk over here. When I said KDF ain’t leaving DRC , I meant it. Even DRC President knows it regardless of his internal political gamesmanship…. Reminds me of the Saudis officially criticizing US support of Israel to appease their masses but behind the scenes you know what goes on.. they eat on same table with same Jews…..There is an official think tank concept called Kenyanna …I will leave it at that… watch this space in the next 3 years… Njaa or no Njaa, Kenya is heading somewhere special under the watch of big players…No way the west is loosing Africa to China or Russia without a push…Kenya is their beacon of hope and democracy…and that road has DRC written on it…Rwanda and Uganda didn’t come back to the northern corridor as a coincidence… mambo yanafanyika kisiri siri.. Let me rest my case before I attract unwanted eyes and ears..🤣🤣Subiri, yaani tuliza, hamuwezi elewa kwa sasa. Kuna mambo yaja. Si kwa mbali. Miaka mitatu ijayo. Najua nanyi mtakuwa na yenu. Lakini kulingana na mipango siri, ambayo kwa bahati naifahamu, Kenya is going to change completely, it is a phase like which Singapore underwent.
Najua huniamini Ichoboy ila si lazima uamini. Kama tu ulivyo kataa, Railway City, expressway, GTC Ndo hivyo.
2 of the commandos from the KDF Army 30th Special Forces operating deep inside the eastern Congo villages….combat diplomats as they are known…. Working with the locals for Mutual understanding… na hawatoki huko for a forseable future…
Taja hio miradi munayofanya tuisikie na tuone hapa 😅😅😅😅😅Wacha udwanzi, ujenzi hautukomboi kiuchumi?? Alafu miradi ipi hio mnafanya sisi hatufanyi?
Lamu imesaidia nn mpaka sasa so far ni white elephant?? 😅😅😅😅Kuna madwanzi hapa kwa kuwa tumenyamaza wanadhani hakuna kitu kinaendelea
Hii ni mojawapo ya dams 5 ambazo zipo under construction sasa hivi Kenya kutumika katika irrigation na matumizi ya nyumbani
Hii dam pekee itapeleka maji kwenye households 2m pamoja na kuweka ardhi ekari maelfu under irrigation
View attachment 2649402
Mombasa itakua served na commuter rail kama Nairobi tu pale ujenzi utakapomalizika
View attachment 2649409View attachment 2649408
Interchanges sisi hatujengi Nairobi tu,
Kuna hii nyingine inajengwa Mombasa
View attachment 2649410
Na hii eldoret
View attachment 2649411
Port ya lamu inazidi kupokea vifaa kuiwezesha kuanza full operation
View attachment 2649414View attachment 2649415
Kuna miradi ya viwanja, affordable housing, konza na tatu cities etc. Alafu unaskia machizi hapa wakisema kenya haina miradi ya kimkakati kukomboa uchumi( whatever that means)
Dah umewapiga na vitu vya mbele.[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2648872View attachment 2648873View attachment 2648874View attachment 2648875View attachment 2648876View attachment 2648877View attachment 2648878View attachment 2648879View attachment 2648880View attachment 2648881
Kama Galana Kulalu, Laptop per child, 5 stadia, SGR to Malaba, Mombasa to Nairobi high way, Kimwererar dam na ukuta wa kutenganisha Kenya na Somalia vyote viliishia njiani, hata hiyo unayosema ni maneno matupu, hakuna kitu kitafanyika, Kenya ni nchi ya maneno matupu lakini hamna uwezoKwaivo unabisha hizi miradi hazifanyiki au what's your point?
Hii yote uliotaja hata thamani ya $ 50 million hakunaKuna madwanzi hapa kwa kuwa tumenyamaza wanadhani hakuna kitu kinaendelea
Hii ni mojawapo ya dams 5 ambazo zipo under construction sasa hivi Kenya kutumika katika irrigation na matumizi ya nyumbani
Hii dam pekee itapeleka maji kwenye households 2m pamoja na kuweka ardhi ekari maelfu under irrigation
View attachment 2649402
Mombasa itakua served na commuter rail kama Nairobi tu pale ujenzi utakapomalizika
View attachment 2649409View attachment 2649408
Interchanges sisi hatujengi Nairobi tu,
Kuna hii nyingine inajengwa Mombasa
View attachment 2649410
Na hii eldoret
View attachment 2649411
Port ya lamu inazidi kupokea vifaa kuiwezesha kuanza full operation
View attachment 2649414View attachment 2649415
Kuna miradi ya viwanja, affordable housing, konza na tatu cities etc. Alafu unaskia machizi hapa wakisema kenya haina miradi ya kimkakati kukomboa uchumi( whatever that means)
Hahaha, last kicks if a dying [emoji237], Kenya economy is crushing mazee, Tanzania is crushing your economy slowly,I mentioned that a while ago while discussing DRC… am privy of inside details I can’t talk over here. When I said KDF ain’t leaving DRC , I meant it. Even DRC President knows it regardless of his internal political gamesmanship…. Reminds me of the Saudis officially criticizing US support of Israel to appease their masses but behind the scenes you know what goes on.. they eat on same table with same Jews…..There is an official think tank concept called Kenyanna …I will leave it at that… watch this space in the next 3 years… Njaa or no Njaa, Kenya is heading somewhere special under the watch of big players…No way the west is loosing Africa to China or Russia without a push…Kenya is their beacon of hope and democracy…and that road has DRC written on it…Rwanda and Uganda didn’t come back to the northern corridor as a coincidence… mambo yanafanyika kisiri siri.. Let me rest my case before I attract unwanted eyes and ears..[emoji1787][emoji1787]
It is endlessWhere does the city centre start and end in Dar!?
Sasa Kama raia na serikali ya DRC hawataki KDF waendelee kubaki nchini mwao watalazimisha kubaki kwa nguvu?.2 of the commandos from the KDF Army 30th Special Forces operating deep inside the eastern Congo villages….combat diplomats as they are known…. Working with the locals for Mutual understanding… na hawatoki huko for a forseable future…
I dont expect anything apart from malls and residential estates[emoji16]Subiri, yaani tuliza, hamuwezi elewa kwa sasa. Kuna mambo yaja. Si kwa mbali. Miaka mitatu ijayo. Najua nanyi mtakuwa na yenu. Lakini kulingana na mipango siri, ambayo kwa bahati naifahamu, Kenya is going to change completely, it is a phase like which Singapore underwent.
Najua huniamini Ichoboy ila si lazima uamini. Kama tu ulivyo kataa, Railway City, expressway, GTC Ndo hivyo.
Mbona mnakufa njaa kuleni ujenzi sasa. Mngewekeza kwenye kilimo irrigation schemes na the whole chain ya kilimo imgekuwa mmefanya uamuzi wa busara lakini sio railway city huu ni upuuzi wakati watu wanakufa njaaWacha udwanzi, ujenzi hautukomboi kiuchumi?? Alafu miradi ipi hio mnafanya sisi hatufanyi?
Ungemalizia majority owned by politicians and foreigners😅I dont expect anything apart from malls and residential estates[emoji16]
Muulize iko wapi hio railway city 😅😅😅Mbona mnakufa njaa kuleni ujenzi sasa. Mngewekeza kwenye kilimo irrigation schemes na the whole chain ya kilimo imgekuwa mmefanya uamuzi wa busara lakini sio railway city huu ni upuuzi wakati watu wanakufa njaa