Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The double decker train coaches for TRC are looking good. Congratulations the Southerners. We are just about to hit you also strongly very soon. Sooner even before you start using them.
But all heartedly, congrats
Cc NairobiWalker and Teargass mtakufa kwa roho mbaya mwaka huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

My take: kama kitu kizuri sifia ujipange siku moja na wewe uwe nacho hata kama itachukua karne.
 
Nyinyi munajua siri kweli kwa munavopenda mpaka sifa za uongo 😅😅😅

Where is railway city ??? Hio expresswah ya mchina ni another white elephant ndio maana unaona mchina ataweka kwato zake over 30 good yrs akikusanya pesa zake na ujiulize after 30yrs hio expressway itakua kwenye hali gani??

Talking of GTC owned by chinnese kwa 100% serious??😅😅😅😅

Muna project gani nyinyi hvi sasa tunavoongea ??? Nitajie moja tu
 
Kutoka "Tuna reli ya kisasa isiyopatikana East Africa"

Mpaka "Tuoneshe 1cm of SGR"

and now "Tuna mambo yetu ya siri soon mtaona"

My take: Tanzania hoyeeeeeeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hvi nyinyi munatuchukuliaje ziko wapi hzo 100 projects hapo😅😅😅😅

Au munahisi hatuijui nairobi au??

Ona nae huyu anashangilia hebu hesabu hzo green nets tuone hata 10 zinafika😁😁
Look at the number of green nets in this pic [emoji7]View attachment 2649370
 
In Africa?


Hiv ushawahi fika Dodoma?
Eti construction zone[emoji23][emoji23]

Ila wakenya...
 
Hii ndio tofauti ya Tz na Kenya, tunafanya miradi ya maana ya kutukomboa zaidi kiuchumi nyie bado mnashangilia neti, kwa mwendo huu tutawatawala kwa mingi ijayo.
Wacha udwanzi, ujenzi hautukomboi kiuchumi?? Alafu miradi ipi hio mnafanya sisi hatufanyi?
 
Wazee wa sifa wameanza lin kuwa na siri?😅
 
Wacha udwanzi, ujenzi hautukomboi kiuchumi?? Alafu miradi ipi hio mnafanya sisi hatufanyi?
Ujenzi wa bwawa kubwa la kuzalisha umeme wa bei nafuu.

Ujenzi wa reli inayotumia umeme Ili kupunguza kuagiza mafuta toka nje ambayo hutumia zaidi ya 40% ya imports za nchi.

Ujenzi wa mifumo mikubwa ya umwagiliaji maji mashambani.
 
Kabisa ,
 
Kuna madwanzi hapa kwa kuwa tumenyamaza wanadhani hakuna kitu kinaendelea

Hii ni mojawapo ya dams 5 ambazo zipo under construction sasa hivi Kenya kutumika katika irrigation na matumizi ya nyumbani
Hii dam pekee itapeleka maji kwenye households 2m pamoja na kuweka ardhi ekari maelfu under irrigation


Mombasa itakua served na commuter rail kama Nairobi tu pale ujenzi utakapomalizika



Interchanges sisi hatujengi Nairobi tu,
Kuna hii nyingine inajengwa Mombasa

Na hii eldoret


Port ya lamu inazidi kupokea vifaa kuiwezesha kuanza full operation


Kuna miradi ya viwanja, affordable housing, konza na tatu cities etc. Alafu unaskia machizi hapa wakisema kenya haina miradi ya kimkakati kukomboa uchumi( whatever that means)
 
Wacha udwanzi, ujenzi hautukomboi kiuchumi?? Alafu miradi ipi hio mnafanya sisi hatufanyi?
Hili swali unauliza wewe au? Yani unauliza tunafanya miradi gani ambayo hamfanyi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pesa mnatoa wapi kutekeleza hiyo miradi wakati hata pesa ya kulipa salaries na kupeleka katika counties hazipo?, Wacha kudanganya watu, Kama Galana Kulalu hadi Leo mumeshindwa kupata pesa, hiyo yote unayosema ni maneno matupu, hakuna kitu mnaweza kufanya.
 
Wewe ni kichaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…