Bado ni shida mifumo ya masoko bado haijakaa sawa madalali uchwara bado wako wengi na pia prices ziko chini sana kwa wakulima haziwapi motivation ya kuongeza acreage. Pia mfumo wa upatikanaji wa pembejeo na miundombinu ya umwagiliaji inabidi iimarishwe kisawasawa ndio tutaona mabadiliko makubwa. Agriculture inauwezo wa kuchangia USD 15 -20 bn every year kwenye uchumi wa TZ.Kazi kubwa kivipi?
Kama coffee imeingiza 230,kwanini wakulima waliolima wasiambiwe walime Mara 4 zaidi?
Hata Sisal piakipindi cha kuanzia miaka 80 kwenda nyuma Tanzania ilikuwa inaongoza ulimaji kahawa kabla ya Brazil na Colombia kuingia kwenye kilimo cha kahawa!
Only third class ndio inaweza kuwa hivyo.Tatizo no muundo wa vichwa watavyovileta.Ilitakiwa hayo mabehewa yaje na vichwa yake lakin nahisi Walter vichwa Ambayo havilingani kimuundo na hayo mabehewa.
Wamesepa wote kitu kizito cha ncha kali kimewaangukia.Kwani wakenya bado wapo??[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 2648115View attachment 2648116View attachment 2648117
Waache waendelee kuringia kale kaexpressway kao, watajua hawajui🤣🤣Wamesepa wote kitu kizito cha ncha kali kimewaangukia.
Hii double decker nina mashaka kama wataleta vichwa halisi vya hii treni.Kama wana lengo Hilo,kwanini havijaja na hizo behewa?Only third class ndio inaweza kuwa hivyo.
Second class, hizi za double Decker zina aina yake ya vichwa kaka. First class ni EMUs ambazo huwa na vichwa vyake.
Hapo ilipo sio behewa zote zimekuja kwenye 30 zimekuja 6 tu bado usiwe na waswas kaka 😅😅Hii double decker nina mashaka kama wataleta vichwa halisi vya hii treni.Kama wana lengo Hilo,kwanini havijaja na hizo behewa?
Alaf wana hasira sana sijui ni njaa😅😅Waache waendelee kuringia kale kaexpressway kao, watajua hawajui🤣🤣
Kwa kifupi hakuna uongozi. Kama wanashindwa kuwasupervise madalali,kitu gani wataweza? Kuendesha port ya Dar Imekua shida hadi wanampa mwarabu,tena miaka 100. Hoijakaa sawa. Inamaana kizazi kijacho kitakuja kufukua makaburi yetu na kutupima kama tulikuwa binadamu kamili au MafisiWanalima sana tu hasa kule kagera....lakin inatoroshwa Uganda kwa sababu ya sera mbovu za ununuzi wa kahawa...na wingi wa madalali katika kilimo....
Kagera inazalisha zaidi ya nusu ya kahawa yote nchiniView attachment 2648227
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kiukweli miaka [emoji817] mingi sana. Sijui wanazingatia nini?Kwa kifupi hakuna uongozi. Kama wanashindwa kuwasupervise madalali,kitu gani wataweza? Kuendesha port ya Dar Imekua shida hadi wanampa mwarabu,tena miaka 100. Hoijakaa sawa. Inamaana kizazi kijacho kitakuja kufukua makaburi yetu na kutupima kama tulikuwa binadamu kamili au Mafisi
Unauliza wanazingatia Nini. Wanazingatia upigaji na kuja Nchi kwa mwarabu. Wanaacha kuisimamia bandari kwa makusudi,alafu wanajifanya kutafuta mwekezaji. Yote hayo ilimradi mwarabu ale jasho la mtanzania. Na mwarabu na udini na ubaguzi! Mmmh,huruma sana.Kiukweli miaka [emoji817] mingi sana. Sijui wanazingatia nini?
I have just said there above most counties have a school feeding programWhat are the priorities for Turkana particularly
hizo sita, bado 24 hazijaja. Hizi hazivutwi na engine nyingine kaka, upo dunia ipi??Hii double decker nina mashaka kama wataleta vichwa halisi vya hii treni.Kama wana lengo Hilo,kwanini havijaja na hizo behewa?
Hii design haina vichwa vyake! Ikumbukwe hizi behewa vichwa vyake ni Bombardier huko Ujerumani!Hii double decker nina mashaka kama wataleta vichwa halisi vya hii treni.Kama wana lengo Hilo,kwanini havijaja na hizo behewa?
Uko sahihi, hilo jambo kuna project tuliifanya hakika tulikumbana na huu mchezoWanalima sana tu hasa kule kagera....lakin inatoroshwa Uganda kwa sababu ya sera mbovu za ununuzi wa kahawa...na wingi wa madalali katika kilimo....
Kagera inazalisha zaidi ya nusu ya kahawa yote nchiniView attachment 2648227
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kiukweli miaka [emoji817] mingi sana. Sijui wanazingatia nini?
Unauliza wanazingatia Nini. Wanazingatia upigaji na kuja Nchi kwa mwarabu. Wanaacha kuisimamia bandari kwa makusudi,alafu wanajifanya kutafuta mwekezaji. Yote hayo ilimradi mwarabu ale jasho la mtanzania. Na mwarabu na udini na ubaguzi! Mmmh,huruma sana.
Mmehangaika weeeee kupanua bandari, alafu majinga fulani kutoka Nchi kame huko yanakuja Kula burebure