Again, Anal sex inafanywa na straight couples pia! Sio kitu cha ajabu. Iβm calling out your HYPOCRISY!Enhh nimekua napenda anal sex tena ??π π
Vp kwani ulishawah kunionjesha au?? Kama ushawah kua mmoja wao sema tu usiogope manake huogopi kutetea ushoga kama ushawah nipa kipumulio ongea tu πππ
Hahaha ushoga haulzmishwi africa ila unafanywa nn kama nchi imeweka kifo kwa shoga huyo raia ana haja gani kuja kwenye nchi yenye sheri hio ?? Kuwekea vikwazo kisa wameweka sheria kali maana yake ni kulazmisha wafate unavotaka wwUshoga haulazimishwi Afrika. Kuna nchi progressive kwenye bara la Afrika ambazo zinalinda haki za mashoga kwasababu ni maslahi ya wananchi wao, si kwa kusikiliza sauti za nje!
Ndio maana nimekuuliza ushawah nipa hicho kipumulio ili ujue mm napenda anal au?? π π πAgain, Anal sex inafanywa na straight couples pia! Sio kitu cha ajabu. Iβm calling out your HYPOCRISY!
Na kwanini shoga apate adhabu ya kifo? Dini zenu hazisisitizi upendo Kwa watu wote? You are not proving any moral authority by punishing and executing people who have not harmed others. Sababu ya nchi zilizoendelea kuweka sanctions ni kulinda haki za watu wasio na utetezi. Wewe unasema mashoga wanastahili kufa lakini ni aina hii hii ya chuki ina-propegate ukabila na udini kwenye nchi zetu.Hahaha ushoga haulzmishwi africa ila unafanywa nn kama nchi imeweka kifo kwa shoga huyo raia ana haja gani kuja kwenye nchi yenye sheri hio ?? Kuwekea vikwazo kisa wameweka sheria kali maana yake ni kulazmisha wafate unavotaka ww
Ushoga upo miaka mingi sana lakin kuufanya kuwa normal kias chakuwapa haki zao. Bora uniite idiot, siwez kukubaliana nawewHii ni idiocy kwasababu Hakuna nchi yoyote duniani inayotoa haki za usawa Kwa mashoga iliyopitia hii hali. Go back to the drawing board and come up with something better to say.
Swali la *******Ndio maana nimekuuliza ushawah nipa hicho kipumulio ili ujue mm napenda anal au?? π π π
Because both men and women have an anus, sio lazima Wewe Ndio uwe penetrated. Wewe Ndio unafanya penetration in this case kwasababu comment yako ili-indicate hivyo.Ndio maana nimekuuliza ushawah nipa hicho kipumulio ili ujue mm napenda anal au?? π π π
Labda nikuulize swali. Haki ya mtu mwingine inaleta ubaya gani kwako?Ushoga upo miaka mingi sana lakin kuufanya kuwa normal kias chakuwapa haki zao. Bora uniite idiot, siwez kukubaliana nawew
Kwasababu ni kwenda kinyume na maumbile yani Mungu aumbe mwanaume na mwanamke alaf tubadili lengo kua mwanaume ageukie wanaume wenzake na wanawake ageukie wanawake wenzio yani binaadamu anamfundisha MUNGU nini cha kufanya kama kuna watu wanafungwa maisha basi na wao ni wajibu wao hvo hvo na mm nampibgeza sana museven kwa kuwaamsha waafrica wengine waunge mkono kwa nguvu sana hili jamboNa kwanini shoga apate adhabu ya kifo? Dini zenu hazisisitizi upendo Kwa watu wote? You are not proving any moral authority by punishing and executing people who have not harmed others. Sababu ya nchi zilizoendelea kuweka sanctions ni kulinda haki za watu wasio na utetezi. Wewe unasema mashoga wanastahili kufa lakini ni aina hii hii ya chuki ina-propegate ukabila na udini kwenye nchi zetu.
Imekuaje unaumia wewe sasa π π π πSwali la *******
Anus kazi yake ni nn?? Au ina matumizi zaidi ya ile MUNGU alivokuumba nayo??π πBecause both men and women have an anus, sio lazima Wewe Ndio uwe penetrated. Wewe Ndio unafanya penetration in this case kwasababu comment yako ili-indicate hivyo.
Dini yako na Imani yako haipaswi kukandamiza haki za mtu mwingine. Na pia Mungu Huyo Huyo ndiye anayeumba mashoga na ni Mungu huyo huyo ndiye anayeumba wanawake wenye testicles and wanaume wenye ovaries. Kwa hiyo labda unahitaji kumuuliza kwanini anafanya hivyo kabla ya ku-condemn watu wengine. And for obvious reasons, si kila mtu anaamini uwepo wa Mungu na si kila mtu anaabudu Mungu unayemuamini Wewe. Kwa hiyo Imani yako isiwe chanzo cha kuharibu maisha ya watu amabao hawajihusishi kabisa na Imani yako.Kwasababu ni kwenda kinyume na maumbile yani Mungu aumbe mwanaume na mwanamke alaf tubadili lengo kua mwanaume ageukie wanaume wenzake na wanawake ageukie wanawake wenzio yani binaadamu anamfundisha MUNGU nini cha kufanya kama kuna watu wanafungwa maisha basi na wao ni wajibu wao hvo hvo na mm nampibgeza sana museven kwa kuwaamsha waafrica wengine waunge mkono kwa nguvu sana hili jambo
Do you kiss? Because I can tell you that the mouth has very specific uses for bodily functions different from arousing pleasure.Anus kazi yake ni nn?? Au ina matumizi zaidi ya ile MUNGU alivokuumba nayo??π π
Unafkiri sukari inaeza geuka kua chumvi??
Suali ni ushawah nipa kipumulio chako ili ukajua mm napenda anus ?? Simpleπ π
Kama uwepo wake unaathiri jamii basi kuna ubaya na sio kwangu tu. Kuna wakati majizi yaliyoshindikana hku mtaani polisi wanawapoteza tu au waanachia wananchi wenye hasira kali wafanye kazi yao. Nani anajali haki yao ya kuishi?[emoji23]Labda nikuulize swali. Haki ya mtu mwingine inaleta ubaya gani kwako?
Haki ni kubadilisha maumbile hvi ww unafkiri wazazi wako wangekua mashoga ww ungekua wapi?? Kwann hifkirii na watoto wengine au kizazi kingine?? Haki ziko africa tu juzi france wamewapiga waandamanaji kama kama wanyama lakini sijaski chombo chochote chao kikionesha haki za binaadamu kama wewe unamatapishi kichwani usilazmishe kila mtu awe nayoDini yako na Imani yako haipaswi kukandamiza haki za mtu mwingine. Na pia Mungu Huyo Huyo ndiye anayeumba mashoga na ni Mungu huyo huyo ndiye anayeumba wanawake wenye testicles and wanaume wenye ovaries. Kwa hiyo labda unahitaji kumuuliza kwanini anafanya hivyo kabla ya ku-condemn watu wengine. And for obvious reasons, si kila mtu anaamini uwepo wa Mungu na si kila mtu anaabudu Mungu unayemuamini Wewe. Kwa hiyo Imani yako isiwe chanzo cha kuharibu maisha ya watu amabao hawajihusishi kabisa na Imani yako.