Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha ila ukweli tuseme kutembea Pamoja na hii mitandao imevunja mipaka sana, Kunyaland ulikua ukiisikia enzi hizo inavyosifiwa na wenyewe wanavyojisifia unaweza dhani ni nchi moja ipo Africa kimakosa, aisee acheni nyie hata Rwanda haijafikia bado PR ya shakahola enzi hizo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila kwa ground sasa
 
Kinachoshangaza ni kwamba hawachukui hatua zaidi ya kulalamika tu mitandaoni, haya majitu ni majinga sana.
Na nguvu ya kulalamika tena mitandaoni tu ndio wanayo hawana ubavu wa kuwawajibisha kwenye katiba yao ya kiduanzi wanaojisifiaga na hapa pia liwe somo kwamba katiba sio chochote

Hivi hiyo katiba ina nguvu gani kwenye huu ufisadi wa kutisha namna hii? Duh Tanzania sio mbingu lakini hii mijizi ipo space πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hawajui historia hawa watu, Tz ni lidude fulani likuubwaaa tangu kitambo.
Ni mipesa mingi sana tumegharamia kwenye hizi harakati tena kipindi uchumi wa hivi vinchi vingine vikiwa hovyo taabani, laiti tungeenda na Ile pace mbona tungesumbua, ila pamoja na hivyo bado Ile institutionalization Tanzania tulionayo kwenye serikali ni top notch kwa Africa
 
Kutoka hapa Kabwe Port/Rukwa ni km 24 tuu kufika Moba Port /DRC

Nilichanja mbuga na Boti hiyo ya Kienyeji ya Serikali.

Ziwa Tanganyika halina Meli inayofanya kazi

Serikali ongezeni uwekezaji kwenye maeneo haya Yana fursa nyingi sana za biashara.
 
Today πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ƒ


Yesterday πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Wananchi wake mwenyewe anawatafutia machaka overseas sababu kashindwa kuwapa uhakika wa ugali sukuma, shida za wa Africa wengine ndio ataziweza? πŸ˜…πŸ˜… Hapa kweli Rais kapatikana πŸ˜‚

Canada yenyewe haitaki kumuona mkenya kwake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Nilifika Kalando, pale Kuna biashara bhana na mzunguko mzuri..

Ila mambo yote ni chini ya maji.. Kimya kimya ila mzunguko wa pesa ni mkubwa sana sababu ya magendo Kwa sana kati ya DRC na TZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…