ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,481
- 89,900
Kama una hiyo jeuri Tunga sheria kama ya Uganda ndio tujue hiyo heshima ya Tanzania..Mkuu, sidhani Kama ni busara kushabikia nchi kwa sababu ya fedha, huko ni kujishusha na kujidhalilisha Sana, Tanzania tunaheshimika Sana duniani kwa kuwa nchi yenye kusimamia utu na uhuru wa raia pote duniani bila kujali fedha, rejea hotuba ya Nyerere kuhusu "Wanasiasa wenye tabia za umalaya".
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Badilisha simu kwanza,They are trying to visit to those countries which opposed them and try to find out if they can use food to influence them to change their minds.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Rafiki wa kweli anakupangia mpaka chupi atakazovaa mke wako huyo ndio rafiki wa kweli ππππ uganda ina sheria zake na utamaduni wake kwann haziheshimu ikiwa nirafiki wa kweli?? πππKama una hiyo jeuri Tunga sheria kama ya Uganda ndio tujue hiyo heshima ya Tanzania..
Yaani usishabikie rafiki wa kweli anaekufaa Kwa dhiki uje kushabikia wahuni kama Russia?
Acha story za kufikirika na hii ndio shida ya Wajamaa mnaishi Kwa feelings ,woga na kutojiamini..Zikiletwa alaf over 50% ni mashoga kazi yake na faida yake ni nn?? Na wanawake wakisagana wao kwa wao hio nguvu kazi ya hzo bil 6 zifatoka wapi??
Kupambana na ukimwi ila kwao ukimwi huusikii ila ukimwi uko africa tu ili wapunguze idadi ya binaadamu africa
Hakuna mtu mjinga dunia hii mzee ndio maana unaona wakenya wanadhalilika kwa uwongo wao kwasababu wanaumbuka mapema tu ππππ
Eti pesa ya beberu wakat mchina ndio anaongoza kufadhili nchi za africa nenda kaangalie madeni amabayo africa inadaiwa na china ndio utaelewa na china ndio anaongoza kwa direct investments africa nzima nenda kokote africa kama utamkosa mchina π€£π€£π€£π€£
Kwenye masuala ya biashara tutafanya na hao mabwana zako ila mambo ya utamaduni na sheria za nchi hapana big NO
Hata mimi nakubaliana na wewe kuhusu hiloHawa Wakenya wasipewe uraia wa hii nchi, Wakenya wengi wanapambana sn kuwa Watz lkn inabidi wawekewe vikwazo vya hali ya juu kuliko raia wengine wotee
Wapemba waliopewa uraia wanaishi kilifi/Mombasa/lamu ambapo sio eneo lao, hao ni wahamiaji haramu.Hayo makabila yapo huko miaka na miaka chizi wewe watu wamezaana miaka kwa miaka wameishi hapi kabla hata kenya haijapata uhuru mbona kuna wajaluo watanzania na wakenya?π€£
Onyesha idadi ya watanzania waliokua a uraia wa Tanzania na kuchukua uraia wa Kenya.Wewe unaongelea watu 12. Sisi tunawapatia uraia kwa makabila yenu yanayoishi kenya[emoji1787][emoji1787]View attachment 2640065
Umepangiwa lini? Acha mihemko na uongo wewe,sera ya beberu Iko clear kutetea Haki za binadamu na si vinginevyo..Rafiki wa kweli anakupangia mpaka chupi atakazovaa mke wako huyo ndio rafiki wa kweli ππππ uganda ina sheria zake na utamaduni wake kwann haziheshimu ikiwa nirafiki wa kweli?? πππ
Hawa wote wamewaletea vibaba vya unga, no agenda Kenyas president can handle with world's leaders apart from food aids wakienda mbali ni terrorism (bandits)You think this is a coincidence, we are world stake holders. Our calibre is beyond nigerian politics View attachment 2640035
Pesa zitumike lakini ushoga tanzania na africa ni BIG NO haiwezekani nahaitatokea kama anakuja kwa lengo la biashara tutafanya kama kwa lengo la kuharibu kizazi haiwezekani na haitawezekana hata wakenya wanaowasujudia hao wazungu kuliko wewe hawakubaliani nao πππAcha story za kufikirika na hii ndio shida ya Wajamaa mnaishi Kwa feelings ,woga na kutojiamini..
Nakwambia hivi hizo pesa zimeshatumika na zinaendelea kutumika Hadi keshokutwa kuanzia kwenye condom Hadi net za mbu na Bado watu sio mashoga..
Mashoga walioko Tzn,Russia nk wamelazimishwa na Beberu America?
Korea Kusini unayoijua Leo bila Beberu America ingeishia kuwa kama North Korea tuu huko au Venezuela au Zimbabwe..
Siwezi kuwa mshirika wa vinchi vya kipuuzi Mimi,kwanza sijawahi na Wala Sina kumbukumbu ni lini Waziri yeyote wa Tanzania aliwahi tembelea Russia ila huko Kwa beberu USA hawakatiki..
Long live beberu Marekani
Wapemba 8000 last month pekeyakeπ€£π€£π€£Onyesha idadi ya watanzania waliokua a uraia wa Tanzania na kuchukua uraia wa Kenya.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kaumiaπ€£π€£π€£Hawa wote wamewaletea vibaba vya unga, no agenda Kenyas president can handle with world's leaders apart from food aids wakienda mbali ni terrorism (bandits)
Na wakiona hii watakua motivated, next year wataomba 2000
Hii ni icon (landmark) ya Arusha sasa
Mkuu, Mimi ni miongoni mwa watu wanaoamini katika haki za binadamu na utakumbuka katika hilo nilitofautiana na Magufuli, hata katika hili ninatofautiana na Museven, Tanzania tukipitisha hii Sheria nitapinga, katika hili nipo na USA.Kama una hiyo jeuri Tunga sheria kama ya Uganda ndio tujue hiyo heshima ya Tanzania..
Yaani usishabikie rafiki wa kweli anaekufaa Kwa dhiki uje kushabikia wahuni kama Russia?
Uko radhi upewe hela na ukubali ushoga ?Hizo ni dola bil.6.6 sawa na til.20 za Bongo..
Zimeshatumika tena kwenye sekta Moja tuu ya kupambana na Ukimwi sijagusia usAid,MCCL, investments,budget support,bill and Melinda gates foundation nk
Una survive hapo Kwa pesa za beberu Marekani na Sina hakika kama wewe ni ***** au laa [emoji1787][emoji1787]
Long live beberu USA
Msinichoshe hakuna mtu alilazimishwa.kuwa shoga,na ushoga isiwe kichaka Cha kufichia madhaifu ya failed state ya Russia na Tzn kuacha kuunga mkono upande wenye maslahi Kwa Nchi in favour of Kutofungamana na upande wowote..Pesa zitumike lakini ushoga tanzania na africa ni BIG NO haiwezekani nahaitatokea kama anakuja kwa lengo la biashara tutafanya kama kwa lengo la kuharibu kizazi haiwezekani na haitawezekana hata wakenya wanaowasujudia hao wazungu kuliko wewe hawakubaliani nao πππ
Yule general wenu alikimbia kama kibaka wa kariakoo πππ
πππππππ kwamba anatetea wanawake wasagane na wanaume wapandane ndio haki hio ambayo ww hujawah isikia kwa mababu zako wote waliotangulia na kama wangekua na mchezo huo ww usingekuwepo duniani leo hii punguza ujinga unaofkirikaUmepangiwa lini? Acha mihemko na uongo wewe,sera ya beberu Iko clear kutetea Haki za binadamu na si vinginevyo..
Na Kwa jinsi Africa ilivyo na majitu makatili bila Beberu America tungekuwa tumeisha, Nadhani unakumbuka Mwendazake alivyoufyata baada ya Makonda kuanzisha Kampeni ya kuwasaka hao mashoga..
Sijawahi ona popote USA akilazimisha mtu kuwa shoga ila sera Yao ni kutetea Haki za makundi yeyote yakiwamo ya hao mashoga.