Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watoe wapi pesa?? Na mchina amekataa kutoa pesa baada ya kuona ni white elephant project na mseven hawez anza ujenzi mpaka aone SGR imefikaribia malaba nje ya hapo wata sign MOU mpaka kiyamaπŸ˜†
 
Source mama ngina πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Hata wewe mwenyewe huziamini hizo data [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hizo Mara nyingi ni storI za kufungulia maji halafu yatoke usiku,kesho yake wanasema ukame.Wanafanya yote hayo kuihujumu Nchi. Hebu fikiria,miaka michache nyuma stories za ukame ziliisha na mgao wa umeme hatukuusikia. Leo hii mambo ni ya Ajabu, umeme unakatika kila siku.

Najua watanzania tumerogwa, aliyeturoga tunamjua,na kibaya hata kupiga kelele tu hamtaki.

Hilo bwawa la Ruffiji halitoshi, labda yangejengwa matano kama hayo.
Vibwawa vingine umevitaja hata haviwezi kuwasha kiwanda,ni vidogo Mno.
 
Ilipimwa na mlevi [emoji23][emoji23][emoji23] budget iliojenga hapo ukitajiwa utashangaa, taratibu naanza kuona zile $68B debt zilipoenda [emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 2639641
Duuhhh, tangu nizaliwe sijawahi kuona barabara kama hii kwa macho yangu, Kenya kila kitu kinawezekana aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…