ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,554
- 89,984
🤣🤣 Mara nyingi Huwa siende kwenye mikusanyiko yenye mihemko,nikinusa tuu Huwa nakaa paleee nasikiliziaMjuba The best 007 usipende vitu vya bure, View attachment 2638304
Mbona hamtupi matokeo!??
View attachment 2638327
View attachment 2638324View attachment 2638324kwan hii ilikua inabeba nn ??[emoji38][emoji38][emoji38]
Nilienda taifa mechi ya marumo (semi final) nikaishia nje ya uwanja nikaondoka[emoji1787][emoji1787] Mara nyingi Huwa siende kwenye mikusanyiko yenye mihemko,nikinusa tuu Huwa nakaa paleee nasikilizia
Ona Sasa yaliyowakuta Hawa Jamaa
Mbona hamtupi matokeo!??
View attachment 2638327
Msumari huu ni wa utosini kwa jamaa wa kaskaziniWakunya Jiandaeni Kisaikolojia
Si bora imefika fainali na mchezo haujaisha bado tunaenda kufa nao Algeria hukoMbona hamtupi matokeo!??
View attachment 2638327
Mbwa kala mbwa 😆😆😆😆Hadi gari lenyewe ni Takataka, [emoji23]
Hawa waarabu dawa yao ni Gor mahiaSi bora imefika fainali na mchezo haujaisha bado tunaenda kufa nao Algeria huko
Gor mahia iko wapi sasa hvi?? Kwanza jengeni choo cha ofisi muwape hao gor mahia, mechi haijaisha na bahat nzuri yanga ina historia nzuri ya kufunga ugenini shikeni maneno hanguHawa waarabu dawa yao ni Gor mahia
Gor mahia ndio nini?Hawa waarabu dawa yao ni Gor mahia
Looks good
Takataka imebeba matakatakaView attachment 2638324View attachment 2638324kwan hii ilikua inabeba nn ??😆😆😆