Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Kizazi cha wajinga wa hiv ni cha kukiteketeza chote, they don't deserve life. Magufuli alikosea sana kutowapoteza wote kwenye system.Ninakupata vizuri Sana, hili ni tatizo kubwa Sana, sio Tanzania tu, watu wa aina hii ndio wengi katika nchi hizi za dunia ya tatu.
Sasa nchi ikiwa na watu Kama hawa hata kwa 25%, kweli kutapatikana maendeleo?. Hawa ndio watanzania wachache waliosoma, wakirudi vijijini jamii inawaamini kwa Kila wanachosema kwasababu ni wasomi.
Kutunga mambo ya uongo, Majungu, kuishi maisha ya kuchunguzana na wasiwasi, yaani hawashughuliki na maisha yao Kila siku kuchunguza kwanini Fulani Leo amekwenda mji Fulani.Ndio maana hatuendelei. Hawa watu hawana uchungu hata kidogo na nchi yao.
Sure, miandiko yao inaonekana kabisa.Yes na wanafanya hivyo kwa kuwa wanafaidika na udhaifu wa huyu wa sasa.
Mtu hapa alitaka kuona Tatu City. Kwa kifupi. Ukitaka full dose useme
View attachment 2621628View attachment 2621630View attachment 2621631View attachment 2621632
Nikufanyie summary ya tatu city.? 🤣Mtu hapa alitaka kuona Tatu City. Kwa kifupi. Ukitaka full dose useme
View attachment 2621628View attachment 2621630View attachment 2621631View attachment 2621632
nepotism pia parochial angalia waliokuwa wana-call shorts! angalia teuzi zake!
kwani Wazenji si part of union government?Mbona kuna wazenji wanapewa vyeo huku bara hadi wakuu wa wilaya mbona hamsemi
kwani Wazenji si part of union government?
Wapo kama program iliyotengenezwa kwa kusetiwa kutoa majibu flani pale wakidetect maneno kadhaa.Sure, miandiko yao inaonekana kabisa.
Anajicontradict mwenyewe. Lol.Kwa hio SSH akiwateuwa yeye sio ukabila
Udhaifu wa CEO wa sasa wanauficha kwa kumchafua CEO aliyepita.
Public transport kwenye the most developed country in Africa [emoji23][emoji23][emoji1787]Mtu hapa alitaka kuona Tatu City. Kwa kifupi. Ukitaka full dose useme
View attachment 2621628View attachment 2621630View attachment 2621631View attachment 2621632
huu ujinga ndo unafananisha na Dodoma's government city!
Leo umetiihuu ujinga ndo unafananisha na Dodoma's government city!
industrial zone ina majengo mawili? Hilo si genge?Leo umetii
Industrial zone. Una jingine!?
View attachment 2621705View attachment 2621707View attachment 2621709