The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,996
Hakuna timu ya Kenya inayoweza kununua basi la namna hiyo, nasisitiza hakuna kwa sasa, subirini Azam apate faida kwanza zen ndiyo apandishe mgawo kutoka milioni 20 kwa bingwa Kenya mpaka mkaribie japo milioni 100.
Njaa ipo mpaka kwa wanyama wakali ila hii nchi jamani 🙌🙌🙌🙌Wanatakiwa wapungue, wapo wengi sana alafu wazembe watatupa shida kuwalisha hawa kima.
Naweza nisiwe nakubaliana na wewe with some issue lakini le me honest with you, napenda namna unajenga hoja zako, so humble, so matured and very sober and you sound so well informed……….keep it up bro.Mkuu, Kama kweli alipendelea Chato, huo sio ukabila, huo ni ubinafsi au "Nepotism", kwasababu wasukuma wapo maeneo mengi, kwanini huko asipeleke upendeleo?.
Mkuu, Magufuli hakuwa mkabila hata kidogo, Hilo la kujenga Chato linaukweli Sana tu, lakini halina uhusiano na ukabila hata kidogo. Inawezekana tunatofautiana ktk "definition" ya ukabila.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ukunyani huwezikuta barabara viwango hivi!
Hii university kweli? Mbona inakaa kama shule?🤣🤣🤣nchi imefeli kwenye kila jambo
nepotism pia parochial angalia waliokuwa wana-call shorts! angalia teuzi zake!Mkuu, Kama kweli alipendelea Chato, huo sio ukabila, huo ni ubinafsi au "Nepotism", kwasababu wasukuma wapo maeneo mengi, kwanini huko asipeleke upendeleo?.
Mkuu, Magufuli hakuwa mkabila hata kidogo, Hilo la kujenga Chato linaukweli Sana tu, lakini halina uhusiano na ukabila hata kidogo. Inawezekana tunatofautiana ktk "definition" ya ukabila.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
kule pastor mchawi ananyofoa body parts huku simba wanauwawa! Nn kinaendelea Ukunyani?Njaa ipo mpaka kwa wanyama wakali ila hii nchi jamani 🙌🙌🙌🙌
Tatizo huna "supporting evidences/documents", Katika vipimo vyote vilivyotolewa na taasisi za nje "Neutral International bodies" nyingi Sana zilionyesha kwamba Tanzania ilifanya vizuri Sana kiuchumi katika kipindi Cha Magufuli hadi kupelekea Tanzania kuingia katika kundi la nchi za uchumi wa kati mapema kuliko ilivyotegemewa na WB/IMF.Mimi sijawahi na sitokuja kumkubali huyo mtu wenu,I consider him a disaster kwenye maendeleo, welfare na utengamano wa kijamii..
Sasa nimeelewa Kwa nini Western Countries zilikuwa zinawawinda watu wote wenye mentality na misimamo ya Kijamaa..
Nyerere alipona Kwa sababu alijuwa kula na Wazungu ndio maana majaribionyote ya kumpindua alisaidiwa na hao hao Wazungu vinginevyo angetokomezwa kama kina Sankala,Lumumba and the likes..
Saizi naendelea kusoma upepo maana nimeshajionea kwamba Huwa inakuaje,the moments akitokea mwingine fasta ntahamisha rasilimali zangu Kwa jirani nisije kuingia hasara kama awamu Ile..
Kuna kampuni nyingi sana zilikimbia baada ya Mjamaa kushika hatamu,saizi wamerudi sababu ya Samia ila wakishika tena Dola mtaniambia si tupo hapa tuombe uzima..
Na hio ni nyingi sana kwa level zao🤣🤣How all Kenyan Clubs will share AZAM Broadcast monies
By MICHEZOAFRIKA Saturday, May 13, 2023
File Photo
The deal will see all the 18 FKF PL clubs receive KES 300,000 and Azam Media Limited broadcast two FKF PL fixtures
Football Kenya Federation has today announced that all Kenyan Premier League Clubs will benefit from the short-term agreement between the Federation and Tanzania’s Broadcast house AZAM.
In a statement on Saturday afternoon, FKF wrote that, "Football Kenya Federation (FKF) is pleased to announce that it has entered a short-term broadcast deal with Azam Media Limited.”
The deal will see all the 18 FKF PL clubs receive KES 300,000 and Azam Media Limited broadcast two FKF PL fixtures, Kariobangi Sharks vs Tusker and Gor Mahia vs AFC Leopards, scheduled to be played on May 13, 2023, and May 14, 2023, respectively.” FKF CEO Barry Otieno said in a statement.
Kenyan soccer clubs have struggled through tough economic times especially after the departure of all broadcast partners including Super Sport.
FKF has however not elaborated on whether there exist talks for further partnerships in future.
How all Kenyan Clubs will share AZAM Broadcast monies
The deal will see all the 18 FKF PL clubs receive KES 300,000 and Azam Media Limited broadcast two FKF PL fixtureswww.michezoafrika.com
MY TAKE
Wapi peng'eng'e! aisee timu za Kunyaland maskini kinoma yaani wamepewa Tshs 5,000,000 tu?
Kwahyo kwa level zao wangefaa kupewa bei gani.? 🤣🤣Na hio ni nyingi sana kwa level zao🤣🤣
Hata wakipewa dollar laki moja kila timu watakusujudia na vile njaa imewaganda kama kupe 🤣🤣🤣🤣Kwahyo kwa level zao wangefaa kupewa bei gani.? 🤣🤣
Naomba utupe ushahidi katika teuzi, idadi ya wasukuma ktk Baraza la mawaziri vs proportion ya idadi ya wasukuma Tanzanianepotism pia parochial angalia waliokuwa wana-call shorts! angalia teuzi zake!
Tupo pamoja mkuu, shukran Sana.Naweza nisiwe nakubaliana na wewe with some issue lakini le me honest with you, napenda namna unajenga hoja zako, so humble, so matured and very sober and you sound so well informed……….keep it up bro.
Sasa turudi kwenye battle yetu, huko Kenya nasikia Mjane wa Field Marshal Dedan Kimathi naye kafariki. Naweza kuwa nina matatizo na Wakenya wa leo, ila nawaheshimu sana wapigania uhuru kama Dedan Kimathi (God Bless his soul), they fight a big war vijana wa leo hatuwezi, and mostly knowing that the chances to win were narrow but they push to the limit na leo wanapata heshima. Let’s live today guys but let’s learn from the past, our heros have taught us great things, let’s honor them by being critical and intentional like they were. Let’s not betray their visions and settle for less, they fought for us to live a better life, a meaningful life.
RIP JPM, RIP Benard Membe, RIP Mrs Dedan Kimathi.
NB: Don’t Mess With Dead People Until You Became One.
Hapana mkuu, hiyo inatafuta " buku," hiyo Ngoma ni mwendo wa mpera mpera haipoi hadi igonge "Buku" .Kenya starvation cult death toll exceeds 200
The death toll in an investigation linked to a Kenyan cult that practised starvation has climbed to 201.www.thecitizen.co.tz
MY TAKE
Hii maneno inaenda gonga 300!
Sidhani kama wanaojenga huu mji wanatazama case studies za capital cities zilizojengwa namna hii hii na kufeli. Brasilia ilijengwa kwa hii style in the 1960s. Ukifikiria maeneo yenye strong community, ambayo inapaswa kuwa sifa ya miji mikuu, huwezi kukuta building blocks zilizotengana namna hii, Au highways zinakatiza kwenye mitaa, Au large empty spaces.Tumia terminology unayotaka wewe mjomba lakini jua hii fence ni ngumu ndugu huwezi kwea .. DOM government city 👇u guys have nothing in comparison to DODOMA.. hizi cluster zipo nne kwenye huu mji View attachment 2620462View attachment 2620463View attachment 2620464
We jamaa ni much know lakini hakuna ubaya wowote kwenye Dom government city.. miji yote mikuu mipya imezingatia kutenganisha ofisi za serikali pamoja na makazi ya watu, mifano kwa picha ukitaka nitakupatia mana ni mingi mno..Sidhani kama wanaojenga huu mji wanatazama case studies za capital cities zilizojengwa namna hii hii na kufeli. Brasilia ilijengwa kwa hii style in the 1960s. Ukifikiria maeneo yenye strong community, ambayo inapaswa kuwa sifa ya miji mikuu, huwezi kukuta building blocks zilizotengana namna hii, Au highways zinakatiza kwenye mitaa, Au large empty spaces.
Sehemu zenye community ni WALKABLE. Mtembea Kwa miguu na muendesha baiskeli wanapewa kipaumbele kuliko muendesha gari. Majengo yana GENTLE DENSITY, sio detached buildings surrounded by large parking lots. Mimi nilisema tangu mwanzo kuwa wangepaswa kujenga taasisi za serikali within the current city limits. Kama serikali ingekuwa inaishi na wananchi in the same neighborhoods, maendeleo yangemfikia kila mtu. Hakukuwa na haja ya kuanzisha some utopian government town.
Hiyo miji mikuu yote iliyozingatia kutenganisha ofisi za serikali na makazi ya watu ni ipi?We jamaa ni much know lakini hakuna ubaya wowote kwenye Dom government city.. miji yote mikuu mipya imezingatia kutenganisha ofisi za serikali pamoja na makazi ya watu, mifano kwa picha ukitaka nitakupatia mana ni mingi mno..
And by the way DODOMA government city si tu eneo kwaajili ya serikali lahasha, huo mji umekua designed ku accommodate kila aina ya majengo kuanzia majengo ya biashara, makazi ya watu, viwanja vya michezo, shule, hospitals n.k ..
Ni vile tu wewe hufuatilii chochote Halaf unataka kujitia ujuaji ilihali hujui kinachoendelea ..