Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

20230512_160808.jpg
20230512_160844.jpg
 
Tofauti ya Tanzania na Kunyaland inaonekana hapa, gari la vinywaji limeanguka lakini watu wanaonesha kutojali kabisa, Kunyaland usingeona hata trace ya chupa za soda hapa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tofauti ya Tanzania na Kunyaland inaonekana hapa, gari la vinywaji limeanguka lakini watu wanaonesha kutojali kabisa, Kunyaland usingeona hata trace ya chupa za soda hapa

Duuhhh aisee kweli Tz hakuna njaa, watu hawana habari kabisa, hiki ni kiwango cha juu kabisa cha uvumilivu [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Wakenya Wakenya nawakumbusha hii ni Dodoma, sisi tunaiita Idodomya, msije kusema hatukuwaambia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Government offices will be nothing compared to private business Tatu or Konza cities…. especially ground infrastructure ya Konza ni first world class … nothing like that Ukanda huu wa East and Central Africa…
 
Back
Top Bottom