ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,254
The debate aside this one I think we need advice from our Neibour’s is this dictatorship loading ama at the long run it might be beneficial???? Seriously concerned is building of houses compulsory
Hongera, baada ya brt kuwa kaa la moto,BasiGo delivers 5 electric buses to Metro Trans Sacco. Metro Trans joins Super Metro as one of the bus companies that are moving towards 100% electrification.
![]()
![]()
Ni Kwa Ajili ya certification ya mazao ya mboga mboga kutoka Tanzania kukidhi viwango vya kuuzwa Ulaya.Hawa waholanzi kwao wanawanyang'anya wakulima ardhi kisa kupunguza emission. Wakulima wao wamekuwa wakiandamana kila siku, wasituletee tuu ajenda za emission. nchini kwetu.
Kaa la moto hilo hakuna nice move hapo ww subiri uone kiyama 🤣🤣🤣🤣Hongereni majirani, nice move.
Embu mposti vitu vya maana vyenye kuinua watu wengi toka kwenye umasikini uliokithiri achaneni na vipicha uchwara vya mji.
geza uroreroo.Sukumagang Hawachelewi kusema legacy ya JPM!





