Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watekenywa mmeshindwa kwa hoja mmekimbia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Upande wa slums kweli mmefunika...mko vibaya kubalini tuendelee maana ili battle ni ww uchoke lakini haliishi hadi tufahamiane

Upande wa usafiri ndani ya jiji
Tumewakalisha... sasa mnavyojifunua mko juu kwenyw kila kitu hua mnatumia vigezo gani[emoji30][emoji30][emoji30]

Kuna vitu hamtaki kubali mmeshindwa hapo ndipo siwaelewi
 
Wanapiga kelele,jengo lenyewe baya na muundo wa kizamani,kujaza concrete maudongo mengi.
 
HAYA HEBU JARIBU KU EDIT HII BASI..NYINYI NI WAJUAJI SANA...HATA ILE KITU HAMJUI MNASEMA MNAJUA..ATI JU SASA MUMEJUA KIINGEREZA MWAKA ULIOPITA MNAKUJA KU COMPETE NA SISI
The Tallest Buildings In Africa
 
HAYA HEBU JARIBU KU EDIT HII BASI..NYINYI NI WAJUAJI SANA...HATA ILE KITU HAMJUI MNASEMA MNAJUA..ATI JU SASA MUMEJUA KIINGEREZA MWAKA ULIOPITA MNAKUJA KU COMPETE NA SISI
The Tallest Buildings In Africa
Ongea uongeavyo lkn jua2 kuwa length of floors dunia nzima huwa ni standard
Magorofa yote huwa na floor length almost ileile
Sikulaumu kuwa na upeo mdogo wa kufikiri najua mnadhani kenya imeizid Tanzania kwa kuedit Wikipedia
 
sasa hivi tumegundua mbinu,kila mkipanga maarifa ya kukimbia hii battle,sisi tutakuwa tunawa-provoke kwa maneno ya maudhi ili mpate ghadhabu na hatimaye muendelee kukokomenti...hatoki mtu hapa...thread itaendelea ku-trend kila siku...hakuna namna,lazima tuwatumie ku-push agenda yetu ya siri.[emoji23] [emoji23]
 
Ongea uongeavyo lkn jua2 kuwa length of floors dunia nzima huwa ni standard
Magorofa yote huwa na floor length almost ileile
Sikulaumu kuwa na upeo mdogo wa kufikiri najua mnadhani kenya imeizid Tanzania kwa kuedit Wikipedia
Hahahaha
Dahh jamaa kanichekesha kweli
Anamwambia jamaa ati mmejua kiingereza mwaka Jana mnakuja kushindana na sisi
Hakika huu ni ushamba na uzoba uliopitiliza
Kwani kujua kiingeleza ndio nini?
Mbona wachina na wajapan hawajui kiingereza na wanamaendeleo ya hali ya juu kuliko wanaoongea kiingereza?
Kama kuongea kiingereza ndio maendeleo?
Kwanini wengi mnaishi ktk nyumba za MABOKSI NA MABATI tena ndani ya Nairobi.
 
Kama kawaida hawana akili
Nijue kiingereza nisijue its non of my busness
Lugha yangu ni kiswahili na kiswahili kimetokana na mababu zangu
Nikuone wewe apo ulierofa mwenye kujitambia lugha za mabwana zenu, waliowatawala miaka60

Wataendelea kuwa mtumwa mpaka unaingia makaburini kwa kujisifu waliokupa mabwana zao
All great nation speak there own language, angalia China, ufaransa, britain, Korea, Japan

Endelea hivyohivyo kujisifia kuwa unauwezo wa kumridhisha bwana wako vizuri

.Nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…