Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

najua majirani wanajua ila wamejikausha kimya kama hawajui vile.

wiki hii mobile broadcast facility ya azamtv pamoja tv crew yake kutokea dar es salaam, itavuka boda ya namanga kwenda kenya kurusha matangazo ya live ya mashemeji derby kati tusker fc vs kariobang sharks na gormahia vs afc leopard.


azam tv inapiga kazi ndani na nje ya tz.
 
Hakuna kurudi nyuma asante sana china 👏
Wanaomba hata leo huo mradi usimame na sisi tunawaambia kondoo hawa kua hakuna mradi utasimama eti mazingira tangu lini kenya ikaumia kuhusu mazingira ya uganda na tanzania nonsense

🇹🇿🇺🇬

 
Si kwa jiografia wala "vibes", hiyo miji haifanani kabisa na Nairobi.
If you take Kibera outta your mindset, am talking of Runda, Lavington, Riverside, Muthaiga etc… If you have been for example to Lee’s Summit suburb of Kansas City you would understand my point but since you haven’t, you are just criticizing to satisfy your ego…. typical Bongolala….
 
Si kwa jiografia wala "vibes", hiyo miji haifanani kabisa na Nairobi.
I want to you to google Kihingo village , Nairobi… search for photos…. Post them here and I will post homes in Kansas City that are replica of Kihingo…except garage doors…. You wanna bet?… that’s just one example… maybe you can say Kenyans copycat America in some aspects…. I know now you will twist my statement to satisfy your ego but please proceed…. Be my guest.
 
Du, wamechoka mpaka nywele ,ligi hafifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…