joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,625
Subiri tuone atatokaje, wenzake wamemkimbia wamemuacha peke yake.Hivi vitu viko nje ya uwezo wake mdogo wa kufikiri, aendelee kuiba picha za wenyewe.
Shirikilia hapo hapo mpaka akuoneshe ng'ombe mwenye matege [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe jinga kabisa, Mimi sitaki maneno. Hapa Afrika Ukiacha South Africa na Egypt, hakuna nchi yoyote ambayo manufactured goods inafikia 20% ya exports
Kenya's top export yake ni tea ambayo thamani yake ni $2.6B kwa huo mwaka 2021, Sisi huku ni Gold ambayo inakaribia $4B, Wacha kudanganya watu, wewe ni mwongo Sana, ndio sababu unashindwa kuonyesha "real figure", badala yake unatumia maneno matupu.
Sasa weka data za total value of exports za Kenya 2022, tulinganishe na Tanzania
Sikuachi hadi ukubali kwamba Tanzania ndio dume la mbeguHow coal drove Tanzania exports in 2022
Some experts credit the government's efforts in economic diplomacy for Tanzania's robust economic growth in 2022.www.thecitizen.co.tz
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kuna huu pia, Jamhuri Stadium Dodoma.Hapo nimeona tu uwanja moja. Hiyo ya Songea Maji maji. Hayo mengine ni vituko tu
Alafu kuna huu, Sheikh Amri Abeid Arusha.Hapo nimeona tu uwanja moja. Hiyo ya Songea Maji maji. Hayo mengine ni vituko tu
Pia kuna huu, CCM Kirumba Mwanza upo kwenye matengenezo.Hapo nimeona tu uwanja moja. Hiyo ya Songea Maji maji. Hayo mengine ni vituko tu
Kuna huu pia unaitwa Chamazi stadium Dar es salaam, utachagua wewe...Hapo nimeona tu uwanja moja. Hiyo ya Songea Maji maji. Hayo mengine ni vituko tu
Alafu kuna huu pia unaitwa Shamba la bibi upo Dar, unapoona Tz mpira umekuwa kuliko nchi yoyote East and Central Africa juwa kwamba tuna viwanja vya kutosha, hatuna mzaha sisi kwenye mambo muhimu.Hapo nimeona tu uwanja moja. Hiyo ya Songea Maji maji. Hayo mengine ni vituko tu
Kuna huu pia unaitwa Amani stadium, upo Zanzibar. Ukome kujilinganisha na Tz sio size yenu sisi kwa kila kitu.Hapo nimeona tu uwanja moja. Hiyo ya Songea Maji maji. Hayo mengine ni vituko tu
Viwanja vyote nilivyokuonesha hapo havijatajwa na game overHapo nimeona tu uwanja moja. Hiyo ya Songea Maji maji. Hayo mengine ni vituko tu
Ntakuuwa wallahi, kuna huu unaitwa Mao Tse Tung upo Zanzibar pia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo nimeona tu uwanja moja. Hiyo ya Songea Maji maji. Hayo mengine ni vituko tu
Haujamaliza kuvitaja buda.. halafu kuna huu in my home town Tanga, Mkwakwani stadiaViwanja vyote nilivyokuonesha hapo havijatajwa na game over
Alafu kuna viwanja vidogo vidogo kama huu wa Majaliwa upo Ruangwa Lindi na vingine vingi kama alivyovitaja game overHapo nimeona tu uwanja moja. Hiyo ya Songea Maji maji. Hayo mengine ni vituko tu
Ndiyo hivyo nmemtajia yani vipo vingi kama uchafu.Haujamaliza kuvitaja buda.. halafu kuna huu in my home town Tanga, Mkwakwani stadiaView attachment 2610845View attachment 2610849