Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunaenda na pivot irrigation technology kwenye uzalishaji tunaachana na kilimo cha kamari kama wakunya
Huku Wakunya hamfiki
View attachment 2605841

Nafurahi kwa nchi yetu chini ya Bashe kulinda mbegu zetu za asili, sidhani kama watu wanaelewa uzito wa hili. Hawa wakina Bill Gates watatuua na mambegu yao ya GMO pamoja na machanjo.
 
hahaahahahahaha, idiot kenyans
 
Tanzania ni Kama ng'ombe ambaye anayetoa maziwa Lita 40 wakati wa kukamuliwa bila kelele yoyote. Kenya ni Kama kuku wa kienyeji akitaga yai Moja anapiga kelele mtaani watu wote mtajua kwamba ametaga, utadhani hilo yai ni dhahabu tupu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Nyie wanuka mavi si mlisema SGR yetu hairuhusu double stack, sisi Watz ni very smart people than you[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
stop beating around the bush. Hapa tunaongelea nyoka aliyegeuka ghafla na kuwa gheko
 
Andamaneni kwa nguvu zote wakenya [emoji122][emoji38][emoji38]
Ruto huwa ananchekesha sn akiongea kiswahili chake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…