Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

watu wa office moja mmoja yupo Cameroon mwingine Tanzania wote wanakufa mfululizo how comes? lipo jambo hapa!

View attachment 2605340View attachment 2605341
Hii ni coincidence hutokea.Sisi mwakajuzi ndani siku moja alifariki Padre na aliyekuwa mwenyekiti wa halimashsuri ya mji Njombe na hao walikuwa mtu na mdogo wake kwa maana Mama zao walikuwa mtu na mdogo wake.Hivyo coincidence kama hizo hutokea
 
Yanga ikiingia Final kwa kumfunga Marumo FC, Tanzania itavuna points nyingine 5 hivyo kufikisha total points 56.5 na kuwa juu ya DR Congo na kushika nafasi ya 6 kwenye association rankinng based on CAF Club competitions. Hapo tunakuwa tumetoka nafasi ya 11 hadi ya 6 😇

 
Huyo Ezekiel alikuwa ameplan crusade Kubwa hapo Dodoma naskia Wabongo Zaidi ya elfu 60 walikuwa waattend.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chomelea Industry.

BTW why wanadhani hii ipo kwao tu? Bongo kuna Dar Coach, Superdoll etc [emoji41]
Tuoneshe magari walizounganisha na si ile picha moja huwa mnashinda mumezungusha hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…