joshua_joe
Senior Member
- Oct 22, 2017
- 132
- 23
OUTDATED AJE? SI U PROVENilikushauri jana kwamba, jukwaa hili huwa tunatumia credible, reliable and acceptable sources, kama huna nyamaza au rudi huko kwenye forum za Kenya ambako watu wanazungumza mambo ya kufikirika bila ushaihidi wowote, hiyo information is outdated is not acceptable, sio jukumu langu kukutafutia silaha ya kunipigia, it will be suicidal.
Kama hukusoma shule kiwango cha kufanya reserches na kuandika reports mbalimbali, sio jukumu langu kukufundisha kwamba ni miaka mingapi nyuma reference yako itakubalika, ni jukumu lako kulijua hilo, huku ni high voltage discussion, hatutaki watu wasio na elimu ya kutosha kama wewe.OUTDATED AJE? SI U PROVE
YOU ARE TALKING OF 178 M? SAA HII THE SECOND TALLEST BUILDING IN AFRICA IS BRITAM TOWER(200M) IS IN KENYA, YENU NI PSPF TOWER AMBAYO NI 153M.Interms of floors
Hakuna skyscraper refu kama TPA(40fl) Kenya
Hakuna skyscraper refu kenya kama PSPF A(35fl) Kenya
Hakuna skyscraper refu kama PSPF B(35Flr)
Hakuna janjajanja za minara apa
Af kumbuka TPA Ina 178M( 40fl, each floor is 4.5m, 40 × 4.5 =180, errors plus extertion ni 178M, nyie wakenya cjui nadhan each flr ni 3M, cjui mnatuchukulia si watz ni vidwaff) na apo ni bila mnara
Endeleeni kuimba
This city can't compete Nairobi in any aspectdar city.
UN REPORTS THAT 92% OF URBAN POPULATION IN TZ LIVE IN SLUMSTuanze taratibu Baba dogo slums
View attachment 616112
INDEED..YOU SHOULD COMPARE IT WITH MOMBASAThis city can't compete Nairobi in any aspect
Pole kwa povu😀😀😀😀😀😀KWANI UNAFIKIRI HUKU KENYA TUMEACHA KUJENGA?
So is that official source????😀😀😀😀😀😀😀
Tuma picha za 21st century
Hakika nyie ndio mabongo lala ati kwakuwa mlitangulia kuwa na majumba marefu ndio mmeendelea,nilidhani 10-20 yes ago...kumbe 5!!...[emoji23]