ila kina cha lake tanganyika mzee sio poa ila ni wazo zuri labda wanasubiri waangalie ufanisi wa magufuli bridge mwanza walau kwa miaka 3 hviKama wana hizo pesa,kwanini wasijenge hio miundombinu lake tanganyika? Pale watapunguza umbali wa malori kuzunguka zambia kwenda Congo DRC.
Kama jorbug mwanangu [emoji8][emoji8][emoji1241][emoji1241][emoji91][emoji91]Pics by ichoboy using LG wing 5G[emoji991]View attachment 2602339View attachment 2602340View attachment 2602341
hayo ni magunia ya lami mchina kafanya recycling ♻️ kwa kuyageuza mapaa 😂😂😂😂Sasa haya mabox baada ya miaka thelasini yatakuepo kwel😅
Pics by ichoboy using LG wing 5G[emoji991]View attachment 2602339View attachment 2602340View attachment 2602341
Floating bridges ndio inafaa ijengwe mahali penye kina kirefu kama ziwa tanganyika. Kwahio,kina sio tatizo.Halafu DRC kuna mzigo mwingi kuliko Zanzibarila kina cha lake tanganyika mzee sio poa ila ni wazo zuri labda wanasubiri waangalie ufanisi wa magufuli bridge mwanza walau kwa miaka 3 hvi
hii picha ni ya sasa hivi yaani ni ya moto na mvua hii mkuu unamwadabisha nyang'au.Pics by ichoboy using LG wing 5G📸View attachment 2602339View attachment 2602340View attachment 2602341
Congo hamna barabara mkuu hata ukiweka daraja Tanganyika ukishavuka hakuna barabara nzuri.Kama wana hizo pesa,kwanini wasijenge hio miundombinu lake tanganyika? Pale watapunguza umbali wa malori kuzunguka zambia kwenda Congo DRC.
Kwahio,huo mradi wa daraja ujumuishwe na uienzi wa barabara unganishi.In a long term,mradi utalipa,na ni uhakika wa kupata mzigo.Zanzibar mzigo na traffic ni ndogo kufananisha na DRCCongo hamna barabara mkuu hata ukiweka daraja Tanganyika ukishavuka hakuna barabara nzuri.
Kwani Nchi zingine yalikojengwa hayo Madara yanavutia huo Utalii? Sidhani kama is a big deal kusema watu watakuja kufanya Utalii..Hii project nafkiri wao wenyewe ndio wanawekeza ila usisahau kua utalii unakua tanzania tuangalie miaka 10 ijayo ambako tutakua tunapokea watalii million 10 bila kua na inafastructures za kutosha ikiwemo hio bado itakua ni tatizo kubwa sana kwetu na pia tanzania uchumi unakua vile vile population inaongezeka siku hadi siku tusisahau hayo pia ila tu nimaoni yangu
Ni kweli mimi siungi mkono hilo daraja maana gharama ni kubwa sana kulinganisha na faida itakayopatikana.Kwahio,huo mradi wa daraja ujumuishwe na uienzi wa barabara unganishi.In a long term,mradi utalipa,na ni uhakika wa kupata mzigo.Zanzibar mzigo na traffic ni ndogo kufananisha na DRC
Mtaa wa skyscraper za mbalimbali……!!Pics by ichoboy using LG wing 5G📸View attachment 2602339View attachment 2602340View attachment 2602341
Siku hizi mko hadi na picha za watu msiowajua mmesave kwenye simu zenu? So desperate!Ukiendelea kuleta ujinga wako nitaweka picha yako hapa ukiwa getini unalinda, we jifanye tumekusahau tu, macho mekundu kama mchawi alafu unataka kushindana kimaisha na mtz, sema suuu niweke picha yako hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwenye Tweet uliyotuma mradi umesema ni PPP utakuwa under Build, Operate and Transfer, serikali haiweki hela, ni consent tu.Kwani Nchi zingine yalikojengwa hayo Madara yanavutia huo Utalii? Sidhani kama is a big deal kusema watu watakuja kufanya Utalii..
China Kuna daraja la hivi na limezinduliwa miaka ya hivi karibuni, kumbuka wao wamejenga baada ya kuwa Nchi kubwa..
Miradi ya hivi wajenge private kama wanataka,hakuna kuweka pesa ya Kodi ya Wananchi
Sio uoga Mzee,kama serikali haiweki pesa sawa ila kwenye uchumi Kuna issue ya opportunity cost na strategic and rational thinking,msipende kutumia hisia au Imani kwenye masuala ya Uchumi..Kwenye Tweet uliyotuma mradi umesema ni PPP utakuwa under Build, Operate and Transfer, serikali haiweki hela, ni consent tu.
Tena inakuja kipindi kizuri sheria ya PPP ndio inasukwa. All good so far, msiogope, maendeleo ni inevitable…..the good thing is inapunguza depence ya usafiri wa aina moja. Alafu fikiria kuunganisha Dar na Zanzibar kwa maana ya kufungua utalii wa sehemu hizi mbili considering Zanzibar ni kisiwa na idadi ya watu inaongezeka. Hutamani tugawane watalii as wanaweza kuaccess sehemu zote kirahisi kama ambavyo Watalii huenda Manyara lakini wanalala Arusha? Think Big Brother, acha uoga.