Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,352
- 5,414
Mpe shule huyo, tax ingekuwa main factor zile nchi zenye tax haven ndio zingekuwa world’s production house. Wataalamu wa uchumi wanakwambia tax incentives sio kigezo cha muhimu sana kwenye FDI, kama huna technology, power, labour, market and infrastructures za kueleweka basi hata uweke 0% tax hakuna mwekezaji utaona, BTW tax is always included in cost of production and it is not beared by the producer rather than a final consumer.Ficha ujinga wako, nchi yoyote yenye technologia iliyoendelea lazima ionekane katika kuzalishia bidhaa kwa bei nafuu, hiyo ndio kipimo maendeleo ya "technologia", factor ya Kodi ni ndogo Sana katika kusababisha bidhaa zinazozalishwa nchini kuwa ghali.
Nchi za Ulaya zonashindwa na china kwasababu "Costs of production in China are lower because of cheap labour, cheap availability of raw materials and very simple technology used to produce goods, issue ya Kodi sio mojawapo inayosababisha Ulaya kushindwa na China.


