Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe nimekuzidi kila kitu bongolala
 
Ficha ujinga wako, nchi yoyote yenye technologia iliyoendelea lazima ionekane katika kuzalishia bidhaa kwa bei nafuu, hiyo ndio kipimo maendeleo ya "technologia", factor ya Kodi ni ndogo Sana katika kusababisha bidhaa zinazozalishwa nchini kuwa ghali.

Nchi za Ulaya zonashindwa na china kwasababu "Costs of production in China are lower because of cheap labour, cheap availability of raw materials and very simple technology used to produce goods, issue ya Kodi sio mojawapo inayosababisha Ulaya kushindwa na China.
 
Wewe pimbi, umeme wenu ni ghali kiasi kwamba bidhaa zenu haziwezi kushindana na bidhaa zinazozalishwa Tanzania, Sasa Kama mnatuma umeme mwingi kutuzidi, iweje sisi tunawazidi kuuza bidhaa nyingi za viwandani nje ya nchi kuliko ninyi, huo umeme mnaotumia kwa wingi mnazalisha bidhaa zipi?
 
Mbona hata sasa wanapiga magoti tuwapelekee bomba la gesi wapate ahueni kwenye energy cost pamoja na dollar crunch na pia juzi tumeona wakiitolea mimacho ya kinyangau 767 freighter
 
You guys were asked humu ndani muweke figures za manufactured goods exports tulinganishe na zetu mpaka leo mmekimbia sasa tutajuaje kwamba manufacturing yenu ni kubwa kuliko yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…