Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni issue ya human trafficking kuna kenyans and Tanzanians collaborators. The physically challenged people are being exploited by lazy Kenyans against their will. This is very bad worse enough these are innocent kids.
Huyo aliyeshikwa na mkuu wa wilaya ni mkenya? Stop looking for excuses kufunika aibu.
 
You said Tanzania has more industries because of "cheap prices" of goods. Hapo ndio nilikuwa nakutoa ujinga by informing you that prices of goods and services are determined by the. cost of production and taxation. China produces cheap products because of lower cost of production and low taxes. Je, una habari kwamba baadhi ya nchi za ulaya hutengeneza bidhaa zao China? And do you know why? Wewe endelea kutoa povu
 
Hamna viwanda ninyi nyumbu na cost of production ni juu kunyaland due to unreliable and high costs of electricity, huna umeme halafu unasema upo industrialized?
Unreliable and high cost of electricity?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
I must be engaging nincompoops here. Have you forgotten that Kenya produces and consumes more electricity than Tanzania? Itakuwaje umeme wetu ni unreliable wakati Kenya inazalisha umeme nyingi kuwaliko? Na pia inaconsume the same electricity kuwazidi? That alone should remind you that there are more industries in Kenya than your shithole country. But as usual, you are a bongolala you won't understand anything
 
Andika kwa kiswahili tutakuelewa tu. Usiwe unag'ang'ana na kiingereza kama ulivyofanya hapo juu na bado uko na nguvu ya kuita mtu mpumbavu
Toa makosa sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ingekuwa kingereza sio upumbavu ungekuwa japo na unga nyumbani au ungekuwa zaidi yangu kimaisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
If you have more industries than us, why does Tanzania export more than your shit hole [emoji2734]
 
Ale wapi mnuka mavi huyo, ikiwa mpaka leo bado wanaona kujua kingereza ndio akili watu kama hao utawaitaje? Mpaka leo Tz iko mbele kwa vyote lkn wao bado wamekalia lugha na lugha yenyewe hawajui. Kama wangekuwa wanajua kingereza hawa wanuka mavi wasingekuwa wanatakiwa kufanya mitihani ya kutest uwezo wao pale wanapoomba scholarship.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Hawa kondoo hawajawahi kuwa na akili.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†hawa ndio wanasiasa wanaowaswaga wakenya kama kondoo








Comment za kina Nicxie na wenzake wakiwa twitterπŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Hatimae

Tanzania yateuliwa rasmi kuwa Mwenyeji ya Mkutano Mkuu wa 79 wa majeshi Duniani ( 79th CISM General Assembly & Congress), ambao utafanyika tarehe 12-19 Mei, 2024 Dar Es Salaam,Tanzania. Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika jiji la Moscow, Russia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…