Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna majengo mawili yanajengwa pale victoria
Mwenye kujua atujuze plz
Maana nimeona picha ya matundubai kuna majengo mawili marefu sana sa ndo nataka kujua kama ni hayo
 
mi bado nasubiri picha za skyscrapers
Hakuna skyscraper refu kama TPA(40fl) Kenya
Hakuna skyscraper refu kenya kama PSPF A(35fl) Kenya
Hakuna skyscraper refu kama PSPF B(35Flr)

Hakuna janjajanja za minara apa
Af kumbuka TPA Ina 178M( 40fl, each floor is 4.5m, 40 × 4.5 =180, errors plus extertion ni 178M, nyie wakenya cjui nadhan each flr ni 3M, cjui mnatuchukulia si watz ni vidwaff) na apo ni bila mnara

Endeleeni kuimba


what Tanzania celebrates today, Kenya probably had it 5 years ago be it roads, skyscrapers among other things
 
Naona Wanaondoka Machizi
Anaingia Kichaa!
Kweli hii mada Kufikia mwakani
90% Ya wakenya Kenya talk wataishia JF
Kujihami
Ajabu wanakuja Vichaa watupu!!
 
Naona Wanaondoka Machizi
Anaingia Kichaa!
Kweli hii mada Kufikia mwakani
90% Ya wakenya Kenya talk wataishia JF
Kujihami
Ajabu wanakuja Vichaa watupu!!
ukute hawa vichaa wa JamiiForums.com wanaojiunga jf ndio first eleven wao aka ma-great thinker wao.[emoji23] [emoji23]

hawa jamaa ukiondoa kujua ku-communicate kwa kingereza,kichwani ni mabogasi kweli kweli...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wakenya wanavuka mpaka kuja Tanzania wanaogopa vurugu tar 26.
Karibuni sana mkiwa na nauli mje hadi Dar
 
Eee hayo
Ni flr ngap apo mkuu
Haya mafupi, 16 floors, Kama umegundua upande huu along Bagamoyo road kuna majengo mazuri sana sema mafupi, angalia kuanzia pale airtel, hata kule mwanza mwa Ali Hassan Mwinyi road kuna jangid, halafu faykat, Airtel, Paloma park, Tanre tower, spanish tiles, Tanzanite park na hayo hapo noble victoria, ni majengo mazuri sana na unique kwa design sema mafupi.
 
the new tanzania:
things are moving so fast,no time to sleep...it's one project after another....
bandika bandua.

while the big project of constructing tanzania electric sgr has begun,here is the current progress of another project in dar es salaam.

kijichi-tuangoma bridge.

hapa kazi tu..maandamano ya kisiasa tumewaachia wakenya[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…