Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kitu kizuri mumeona jinsi wananchi wa chini kamili(wakulima na wafugaji) wanamiliki Ardhi kubwa Sana, kuanzia hekari hamsini na kuendelea, Kenya 70% ya raia hawamiliki Ardhi, wanakodishiwa na mabwenyenye.
Sio kumiliki tu maeneo makubwa hivyo angali wao ni wananchi wa kawaida, kubwa zaidi ni wao ambao ancestral land yao ni zaidi ya kilometers 500 mbali na hapo wanamiliki Ardhi kubwa hivyo kwenye eneo ambalo sio asili yao, kunyaland huwezi mkuta mkisii anamiliki ardhi kubwa hivyo kwa mkikuyu, never
 

Nje ya mada,
Katika vitu Mmarekani na wenzake wanaomba itimie kwenye ndoto zao ni kupewa ruhusa ya kujenga military base yake hapa Tanzania ila ndo hivyo tena HAIWEZEKANI, hatuwezi ruhusu huo uzwazwa.

Imagine unakuwa na military base kwenye nchi iliyopakana na nchi nane!
 
Hata mjerumani anainyapia sana hiyo opportunity pamoja na China, Germany anatoa misaada ya kufa mtu JWTZ nafikiri ndio anaongoza kwenye foreign contributions, saivi anajenga hospital kubwa sana ya kijeshi Dom
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Ndo umesalia kujifariji hivyo si ndio? [emoji23][emoji23]
Huo ndio ukweli wapinzani wa Simba ni hawa Wydad, Mamelodi Al Ahyl, Esperance, Raja etc sasa compare na wapinzani wa Uto ambao ni Rivers united, Amazulu, Asec Mimosa etc nadhani utakuwa umepata picha nzuri kuhusu hili lidude likuuuuubwaaaa[emoji16]
 
Tanzania is the only country in East Africa to have B2 positive in Moodys ranking and among 5 countries in Africa.

 
Ni noma! 🔥 🔥 🔥 Bado train za mjini na phases zake! Mkwala unaanza toka Tegeta mpk Posta mjini reli
itakuwa elevated then pale karibu na Serena inapigwa subway!
 
On top of that Tunaenda kuwa namba 3 Afrika Kwa GDP growth mwaka huu averaging 5.6%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…