Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwaivo point yako haikuwa ruangwa ni more organized kuliko Nairobi bali kibera ndo sehemu mbaya zaidi kuishi? Kwa hivyo ndo maeneo ya Tanzania yaonekane yameendelea, lazima yalinganishwe na sehemu mbaya zaidi kenya [emoji1787]
Muulize aliyepost
 
We boya nini,umuagize nani? Kama huna viwanda pita huko..

Mbeya inazidiwa viwanda na giants tuu kama Dar,Pwani,Arusha labda na Mwanza ila kina Tanga, Kilimanjaro, Tanga, Morogoro na Shinyanga hamna kitu.
Anyways ngoja nikushukie mzima

Tanga kuna viwanda vya cement na chokaa vifuatavyo

1. Simba cement, production capacity yake 👇

2. HUANXI cement "Huaxin Cement commissions grinding system at Maweni Limestone plant in Tanzania - Cement industry news from Global Cement" Huaxin Cement commissions grinding system at Maweni Limestone plant in Tanzania.

3. Kilimanjaro cement .. production capacity yake 👇"Kilimanjaro Cement" Kilimanjaro Cement.

4.Neelkant lime Ltd (saivi jamaa wamekua hadi wako na facility ingine Zimbabwe with annual production capacity of 420k) 👇"About Neelkanth Group – Neelkanth Group" About Neelkanth Group – Neelkanth Group.

Bado upo tu.? Niendelelee.? 🤣🤣🤣
 
Umeshamaliza?
 
Haya ngoja nichangie kidogo maana kwa mtazamo wangu mimi naona Tanga ni pazuri ukienda leo kurudi ni majaliwa [emoji16]

Hii ina maana gani? Kwamba Tanga ukifika hutatamani kuondoka.

Nadhani mliosoma CUBA mmenielewa.
Sasa hapo ndio umechangia nini? Weka hoja na facts sio ego wala feelings..

Tanga ni Moja ya Mikoa ya maskini tuu
 
Viwanda Tanga ChoiceVariable usikimbie najua hapa utajifunza kitu, tupo humu Ili kujuzana mambo bhana

5. Tanga fresh (kiwanda cha maziwa) production capacity yake ni 80,000 litters per day 👇"Tanga Fresh - Products, Competitors, Financials, Employees, Headquarters Locations" Tanga Fresh - Products, Competitors, Financials, Employees, Headquarters Locations.

6.Mamujee products Ltd mfano mmoja wa bidhaa zao maarufu Tz ni hizi baby care 👇

7. Anjari drink .. sample ya bidhaa zao hizi👇

8. Pembe flour mills LTD 👇Products of , Tanzania - Tridge.

Tuendelee au pumzi ninayokupa ni yamoto.? 🤣🤣🤣
 
Hapa ng'ombe wa nyama wanafungwa na kiwanda Cha nyama for exports

 
Hizi takataka unapost ni vi wonder sio viwanda 🤣🤣🤣.. nimekwambia awali Tanga Iko na industrial area kabisa and guess what viwanda vyote nimetaja hakuna hata kimoja nimetaja kutoka kwenye hiyo industrial area..
Sio viwanda ni nini we *****,leta jina lake.
Wasomi zaidi ya 40 wameajifiwa hapa kiwanda Cha Rafael Group
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…