Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Medical Tourism is taking shape


This is really good .
Kuwe tu na mazingira rafiki kuwavutia wa practice hapa, vinginevyo wengine wanaweza wasirudi kabisa nchini.
Rémunérations za super-specialists tz zipo chini sana, quite unfair Hasa ukiangalai safari ya shule mtu hadi afikie level hiyo, miaka mingi sana inapotea on the journey, wewe leo uje umlipe sijui milioni 2, No way.
Unakuta kuna mtu mwingine amesoma sijui sociology yupo huko nssf anakula mshahara Sawa na Cardiology surgeon,
No way. Hili Lina haja ya kuangaliwa.
In fact suala la Elimu na afya inafaa siasa zikae pembeni.
 
Mkuu, kwa serikali Afya ni huduma ya msingi Kama chakula, maji, elimu, umeme na makazi, ukivifanya viwe ni ghali(commercial) vinasababisha kupanda kwa gharama za maisha.
 
🤣🤣🤣 Mbeya ishindane na Tanga kwa viwanda.? 🤣🤣🤣 Wewe ni mtanzania.?
 
Hizo ni hadithi ulizomezeshwa na wajinga wenzako.

Kwa taarifa Yako Dodoma ndio Jiji lenye mtandao mkubwa Barabara za Mitaa ndio Dar inafuata hii ni baada ya km 52 za Mji wa Serikali kukamilika hapo Bado Ring road..

Hako kakijiji chako Cha Tanga hakako hata kwenye hesabu na attention na yeyote,hicho unachoita mtandao mkubwa wa Barabara ni Kwa sababu is a mini town just like Iringa ila outside hapo Mjini hamna kitu.

Kama sio kujistukia ni nini ,kuwa na second alternative to Dar how significance is to Tanga? It doesn't make sense na Wala sioni upekee hasa hapo ni upi?

Kama Tanga nzima mnategemea hiyo Barabara ndio mradi mkubwa basi mko nyuma sana na hapa kujitutumua,

-Mbeya Ina Igawa-Mbeya-Songwe Dual Carriage Road under construction,
-Mbeya/Isyonje-Kitulo-Makete under construction,
-Makongolos-Rungwa-Singida/Tabora under construction,
-Kajunjumile-Mbando km 32 Iko under construction
,

Streets Roads under construction ni TanRoads km 5, Tarura/Mbeya City wanajenga km 6 na lastly Tactic km 25 ,hapa ni over 30km.

On top of that Kuna
-Mbeya bypass 40km(Uyole-Songwe) design review ,
-Iwambi Bypass 20km(Iwambi-Mbalizi)design review

Harafu anatokea mtu huko kwenye Kijiji Cha Wavivi Cha Tanga eti anajitutumua kujilinganisha na Mbeya 😁😁
 
🤣🤣🤣 Mbeya ishindane na Tanga kwa viwanda.? 🤣🤣🤣 Wewe ni mtanzania.?
Hapana Mimi ni Mkundustan 😁😁

Kwani Hutaki au? Unadhani kuwa 3rd in GDP inatokana na nini Sasa bwashee?

Endelea kukariri ujinga mliomezeshana hivyo hivyo
 
No wonder wanakupuuza humu ndani 🤣🤣🤣
 
Kweli we jamaa ni kichaa, unaniletea matokeo ya research 🤣🤣 me nikajua ni mradi upo U/C or something..
We jinga kweli 😁😁 ,si ulisema hakuna potential au umebadili gia angani na kutafuta pa kujifichia? 😁😁

Kwa taarifa Yako mradi wa Kiejo-Mbaka Geothermal Iko under construction ila Kwa kuwa hujui ndio maana unahemka na kutoa majicho kama mjusi 🤣🤣
 
Hapana Mimi ni Mkundustan 😁😁

Kwani Hutaki au? Unadhani kuwa 3rd in GDP inatokana na nini Sasa bwashee?

Endelea kukariri ujinga mliomezeshana hivyo hivyo
🤣🤣🤣 Let's make the long story short, weka viwonder vya mbeya nikuonyeshe TZ's big brands from TA
 
Unajua kama Tanga kuna mradi wa bomba la mafuta U/C .?
 
Ruangwa is just a small district in Southern Tanzania but it seems more organized than Nairobi the slum city[emoji706][emoji706]

Look at Nairobi now[emoji706][emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…