ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,560
- 90,008
Toka Umepata haka kapicha naona ndio unalingia na kuchafua Uzi..Katikati ya mji kuna ushuzi huu.? 🤣🤣 Hizi ni sawa na uswazi za Tanga tu 👇View attachment 2591227
Unajua kuna Vitu mjiongeze Mtu Mmesha Mjua Haijui Tanzania VyemaChoiceVariable Tanga ni proper City kabisa mzee sio hiyo takataka mbeya 👇 hotels zenye maana pia zipo, sijui kama kuna hotel ya maana hapo mbeyaView attachment 2591194View attachment 2591195View attachment 2591196
Jamaa anazingua sana.Unajua kuna Vitu mjiongeze Mtu Mmesha Mjua Haijui Tanzania Vyema
Wala Hajaitembelea Tanzania au Miji ya Tanzania na Kuijua
Kwenye mada Hii Mtaharibu
Nendeni mkaanzishe Hiyo Mada Mtapata Kuona Ukweli wa wengine zaidi yenu
Na Ukweli huo nikuwa Mbeya Bado sana kwa Tanga
Mbeya Kiukweli Ilipewa Jiji lakini ni Aibu
Mbeya Hata Morogoro Ipo Vyema sana.
NB; Maoni haya ni Kwa wanao Ijua Miji ya Tanzania
Napenda mnavyovuana nguo wenyewe kwa wenyewe. Yani eti katikati mwa City barabara zote ni za vumbi heehee.Katikati ya mji kuna ushuzi huu.? 🤣🤣 Hizi ni sawa na uswazi za Tanga tu 👇View attachment 2591227
Naona mnalazimishwa hicho Kijijini kifanane na Mbeya,haitokaa itokee 🤪🤪Jamaa anazingua sana.
Tanga ipo vizuri ukilinganisha na Mbeya.
Halafu Tanga kuna watoto kike wanajua vitu vingi sana.
Toa ujinga wako hapa wewe, unadhani kinachoamua kuwa Jiji ni mdomo wako au vigezo?Unajua kuna Vitu mjiongeze Mtu Mmesha Mjua Haijui Tanzania Vyema
Wala Hajaitembelea Tanzania au Miji ya Tanzania na Kuijua
Kwenye mada Hii Mtaharibu
Nendeni mkaanzishe Hiyo Mada Mtapata Kuona Ukweli wa wengine zaidi yenu
Na Ukweli huo nikuwa Mbeya Bado sana kwa Tanga
Mbeya Kiukweli Ilipewa Jiji lakini ni Aibu
Mbeya Hata Morogoro Ipo Vyema sana.
NB; Maoni haya ni Kwa wanao Ijua Miji ya Tanzania
Exactly how many high-rise buildings do you think are in Nairobi? There are Thousands! How many thousand buildings have been constructed by foreign companies? For instance, Laxmanbhai Construction (a KENYAN company established by a KENYAN in KENYA) built Britam Tower, Nairobi's tallest building. The company also built Telposta Tower, Lonrho House, and Villa Rosa Kempinski (among other projects in Nairobi). The architects were Kenyans, working for Howard Humphreys Limited.Those skyscrapers you are talking about are built by foreign companies the ones you build yourselves we know them they constantly turn into a heap of rubble [emoji16]
Those skyscrapers you are talking about are built by foreign companies the ones you build yourselves we know them they constantly turn into a heap of rubble [emoji16]
Take note that while Kenyan architects and engineers built our tallest skyscraper, Mzizima Towers were constructed by Group Six International Limited, a Chinese Contractor. I could look into others, but I think I've made my point about construction expertise.Exactly how many high-rise buildings do you think are in Nairobi? There are Thousands! How many thousand buildings have been constructed by foreign companies? For instance, Laxmanbhai Construction (a KENYAN company established by a KENYAN in KENYA) built Britam Tower, Nairobi's tallest building. The company also built Telposta Tower, Lonrho House, and Villa Rosa Kempinski (among other projects in Nairobi). The architects were Kenyans, working for Howard Humphreys Limited.
The GTC towers and complex were designed by KENYAN firm Triad Architects. There are so many others, but I have given you just two of the biggest. What you are asking me to account for is the thousands of 3 to 4-story buildings built by individual investors using small contractors. Since there have been 3 or 4 collapses (out of THOUSANDS built) Kenyans do not have the expertise? You're joking. I am pretty sure that if you take the time to research, the companies I mentioned above have projects they have undertaken in Dar.