Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
We unataka hii battle utaiweza.? 🤣🤣🤣. Mbeya yenyewe sasa 👇Ipo Juu kwenye mdomo wako au? Taja List,kaendelee alipoishia mwenzio kama una jeuri hiyo..
Kuchipukia kwenye nini? Kama Mbeya inachipukia ndio ishawachambia Tanga ni magofu tuu huko.View attachment 2591067
Hapa mzee tunasumbuka. Labda tumuulize kama amewahi fika Tanga.We unataka hii battle utaiweza.? 🤣🤣🤣. Mbeya yenyewe sasa 👇View attachment 2591084View attachment 2591085View attachment 2591086eti City center 🤣🤣 Mavi... hii mbeya labda tulinganishe na lushoto au korogwe lakini sio Tanga City bro
Huyo anajificha porini uko anataka kuongea ongea vitu hajui hapaHapa mzee tunasumbuka. Labda tumuulize kama amewahi fika Tanga.
Unatusumbua mzee. Mbeya kwa Tanga bado sana. Wewe huijui Tanga.Kumbe ndio maana mumekalia Ubishi hamjui kitu 😁😁😁😁
Uwanja wa Songwe uko Mbeya na ndio maana unataka ubadilishwe jina Kwa sababu Uliitwa Kwa heshima ya Mto Songwe na Sasa Songwe ni Mkoa mwingine ila uwanja uko ndani ya Mipaka ya Mbeya km 30 kutoka Citu Centre.
hao mbwa wana router tu.... ndio wanajuaHebu kenya tuambieni.
View attachment 2591099
Mbeya bado sana kwa Tanga.Hizi ni mitaa za makazi ya watu wa kipato cha kawaida .. barabara za namba and guess what zipo 21 zote hizi zina lami 👇 ChoiceVariable toa tongo tongo kwanza.. toka utembee.. hizi barabara za namba pekee ni bora mara mia ya mbeya City center.. sa nikikuletea City center ndio utawezana.?View attachment 2591110View attachment 2591111View attachment 2591113View attachment 2591115View attachment 2591117View attachment 2591118.. na hizi picha nimeweka wala sio best streets kwa barabara za namba, picha nilipiga random tu..
Most definitely, Tanga competition yake ni Arusha.. Mbeya haiwezani hata na Morogoro, nashindwa kuelewa ilikuaje ikapatiwa city status, ni aibu tupuMbeya bado sana kwa Tanga.
Tanga inachuana na (Mwana & Arusha).
Toka Mjerumani awajengee hayo Magofu Bado kuko vile vile hambadiliki tuu nyie mamwinyi wa Tanga? Tuoneshe Kwa matajiri .Hizi ni mitaa za makazi ya watu wa kipato cha kawaida .. barabara za namba and guess what zipo 21 zote hizi zina lami 👇 ChoiceVariable toa tongo tongo kwanza.. toka utembee.. hizi barabara za namba pekee ni bora mara mia ya mbeya City center.. sa nikikuletea City center ndio utawezana.?View attachment 2591110View attachment 2591111View attachment 2591113View attachment 2591115View attachment 2591117View attachment 2591118.. na hizi picha nimeweka wala sio best streets kwa barabara za namba, picha nilipiga random tu..
Nimeshakwambia Bado hapo mdomoni kwako ila Kwa facts huna 😁😁Unatusumbua mzee. Mbeya kwa Tanga bado sana. Wewe huijui Tanga.
Mimi siyo mtu wa Tanga but I tell you Mbeya bado. Hata kwa kilimo chenyewe ni wasiwasi kuipita Tanga mzee.