Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Sasa satelite itawasaidia nn wakati basic needs zinawashinda?Havina tija kwa mabongolala kama wewe. Watu waliosoma wanajua umuhimu wa kutumia science kutatua matatizo mengine
Launched in US sio?Taifa 1. In Space successfully.
Wabongo hawaelewi mambo ya Space. Rockets to space depend much also on weather. Now you know
View attachment 2588517View attachment 2588518
Eti mlitaka kutuficha hili tukio?Ila mnafuatilia mambo ya Kenya Sana aisee.🤣🤣
Nishaiona kwa picha usinipee ujingaAkili yako ipo uvunguni mwa mwili wako. Uje uone kama kuna njia ya vumbi UDOM
Uchumi halisi wa Tz ni $150b wataiandika tu watake wasitake, na SGR ikianza kufanya kazi tutagonga $200b ndani ya miaka miwili.Tanzania ina uchumi mkubwa zaidi ya huu wa kuandikiwa kwenye kimemo
DRC inakuja kwa kasi sana. Ndani ya miaka 10 tutaona tofauti kubwa.Angola na Kenya by 2030 tunaweza kuwapita ila Ethiopia ni ngumu sana, population Yao Ina guarantee soko la uhakika.
Angola kumpita ni ngumu sana maana ni petrodollar economy ila Kenya na Ethiopia ni rahisi sana especially ukizingatia current KES trend uchumi wa Kenya utakuwa una range from 90 - 100bn now as we speak. For Ethiopia low economic base ndio tatizo kubwa na high population.Angola na Kenya by 2030 tunaweza kuwapita ila Ethiopia ni ngumu sana, population Yao Ina guarantee soko la uhakika.
Angola atapitwa tuu Kwa sababu hana population kubwa ya ku guarantee expansion kubwa ya uchumi..Angola kumpita ni ngumu sana maana ni petrodollar economy ila Kenya na Ethiopia ni rahisi sana especially ukizingatia current KES trend uchumi wa Kenya utakuwa una range from 90 - 100bn now as we speak. For Ethiopia low economic base ndio tatizo kubwa na high population.