Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha kuwa dwanzi, hamna aliyesema estate roads zote za Nairobi zina lami. Hata hivyo majority zina lami, hata hiyo umeweka hapa ukatafuta current picture ya hio area utapata kuna lami. Tupee jina ya hio street tukuletee current picture
Kileleshwa [emoji116]
 
Tunakuja na magoli yetu 5 mfukoni naona sasa mmetuzoea vibaya hadi kumshika Simba sharubu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna timu East and Central Africa ya kumsumbua Young Africans kwa ss, Yanga akishinda jumapili sio big deal ila Simba akishinda yatakuwa maajabu ya Mussa, nategemea Wakenya wengi kuja kuhudhuria mechi ya timu zao pendwa hapa Africa.
 
Hongereni kwa kufungwa na Vipers ya Uganda iliyo Afrika Mashariki.
Key words "kwa ss"

Vipers aliifunga Yanga ambayo haijaunganika, hata Rivers United toka Nigeria naye alitufunga ila subiri uone nitakachomfanya, atawaadithia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha kulialia wewe nyang'au🤣🤣
 
Hakuna timu East and Central Africa ya kumsumbua Young Africans kwa ss, Yanga akishinda jumapili sio big deal ila Simba akishinda yatakuwa maajabu ya Mussa, nategemea Wakenya wengi kuja kuhudhuria mechi ya timu zao pendwa hapa Africa.
Simba ni timu yenye historia kubwa kila awamu na raisi wake tunaweka record mpya na kwa mama Samia pia tunataka record mpya maana za 6-0, 5-0, 4-0 kwa kila awamu tumeshazizoea tunataka wiki kama Horoya sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…