Nilijua lazma ujibu kwa mihemko tu 🤣🤣🤣 rudi kwenye video tena angalia kwa umakini kabisa alaf njoo ujibu tena upupu wako sasa😂😂😂😂😂…. Kweli Watanzania wana ubongo kidogo…Learn about Nairobi and horses first…we don’t just ride, we race them like developed world.. horse riding farms hata ziko as far as Nanyuki … Kenya sio ligi Yenu..
Punguza makasiriko dogo! Enjoy battle!Nairobi imeipita mbali Dar es Salaam kwa maendeleo.
Watanzania tuache kujidanganya, tupige kazi tuletee nchi yetu maendeleo na si blah blah.
Barabara nzuri Nairobi inaongoza, uchumi imara kwa maana ya mzunguko wa pesa Nairobi inaizidi Dar pakubwa. Hata hali nzuri ya hewa na muonekano wa mji Nairobi ipo miles nyingi zaidi ya Dar.
Ana machungu ya kukosa githeri huko kwao naipori[emoji16][emoji16]Punguza makasiriko dogo! Enjoy battle!
Isn't this self defeatist? 🤣
Mbona Avatar yako unalia sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]…. Kweli Watanzania wana ubongo kidogo…Learn about Nairobi and horses first…we don’t just ride, we race them like developed world.. horse riding farms hata ziko as far as Nanyuki … Kenya sio ligi Yenu..
Ngoja tuwaumize moyo, kama China mwanangu [emoji8] [emoji8] [emoji1241] [emoji91] [emoji91] [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ihumwa Dom
Hii sgr ikianza operation tutavuna pesa sana za utalii wallahi, onaa [emoji116][emoji116]Kilosa station
Kutoka 22 mpk 17, tulikuwa tunawaambia humu thamani ya pesa yao si ya kweli kulingana na uchumi wao wakawa wanabisha, sasa itaporomoka mpaka kufikia 1ths = 2ksh few years to come, ona hadi rahaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna dafu linaporomoka toka juu ya mnazi.
View attachment 2586386
Alafu hii niliyoweka kumbe ni ya kitambo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kutoka 22 mpk 17, tulikuwa tunawaambia humu thamani ya pesa yao si ya kweli kulingana na uchumi wao wakawa wanabisha, sasa itaporomoka mpaka kufikia 1ths = 2ksh few years to come, ona hadi rahaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2586390
Mzee mimi nimetoa BOT thamani ya sasa 17.1 next week tunapinduka na 16.Kutoka 22 mpk 17, tulikuwa tunawaambia humu thamani ya pesa yao si ya kweli kulingana na uchumi wao wakawa wanabisha, sasa itaporomoka mpaka kufikia 1ths = 2ksh few years to come, ona hadi rahaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2586390
Ukitaka kujua uchumi wao ulikuwa fake angalia thamani ya pesa yao inavyoporomoka kwa speed ya light 🚨🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mzee mimi nimetoa BOT thamani ya sasa 17.1 next week tunapinduka na 16.
Punguza makasiriko dogo! Enjoy battle