Kuna kamsemo kanasema mficha uchi hazai, sasa uchi wameuachia kwa lazma na kuzaa watazaa sasa 🤣🤣🤣🤣The government that can’t even afford paying salaries , kweli kuishi kwingi kuona mengi [emoji3][emoji3][emoji3]
Nitajie miundombinu ambayo ipo Nairobi haipo Dar nitakutajia miundombinu ambayo ipo Dar na haipo East and Central Africa.bahat = bahati
mm = mimi
alaf = halafu
manake = maana yake
hzo = hizo
ww = wewe
Haya kajifunze kwanza kuandika halafu urudi tundee na mada iliyo mezani.
Sasa hiv Dar imeongeza muundombinu mwingine ambao hakuna kwa cities za East and Central Africa.. unajua ni nini.. saivi DSM kuna njia ya chini ya reliNitajie miundombinu ambayo ipo Nairobi haipo Dar nitakutajia miundombinu ambayo ipo Dar na haipo East and Central Africa.
They only know ugali na uji tuu kama staple food. Hivyo vingine ni anasa kwao hawawezi ku afford.Hawa jamaa mbona ugali wameupa thamani sn huko kwao?
😂😂😂😂😂…. Kweli Watanzania wana ubongo kidogo…Learn about Nairobi and horses first…we don’t just ride, we race them like developed world.. horse riding farms hata ziko as far as Nanyuki … Kenya sio ligi Yenu..Wapi utapata vitu kama hvi kenya 😆😆😆
😂😂😂😂😂…. Kweli Watanzania wana ubongo kidogo…Learn about Nairobi and horses first…we don’t just ride, we race them like developed world.. horse riding farms hata ziko as far as Nanyuki … Kenya sio ligi Yenu..
Andika OneshaOnyesha makosa ya kiuandishi kuonyesha mimi si Mtanzania.
Haya sasa turudi kwenye mada kuu mezani. Je, Nairobi haina barabara nzuri zaidi ya Dar es Salaam?
Au wewe unashangilia Dar kwa sababu tu ni Mtanzania? Haujali ukweli?
Au ndiyo ujinga mwingi unakusumbua?
Kuna namna BRT Kenya imekuwa cursed, haiwezekani kila wakianza wanaishia njiani, yaani walianza na lipstick wakachemsha, nyege zikawapanda tena wakaja na hii wakachemsha, kutakuwa na mkono wa mtu si bure😅😅😅Naona kichaka kimeota. [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2585859
Kuna namna BRT Kenya imekuwa cursed, haiwezekani kila wakianza wanaishia njiani, yaani walianza na lipstick wakachemsha, nyege zikawapanda tena wakaja na hii wakachemsha, kutakuwa na mkono wa mtu si bure[emoji28][emoji28][emoji28]
We associate Nairobi with cows not horses and we all know that. Au unabisha tuweke evidence?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]…. Kweli Watanzania wana ubongo kidogo…Learn about Nairobi and horses first…we don’t just ride, we race them like developed world.. horse riding farms hata ziko as far as Nanyuki … Kenya sio ligi Yenu..
Naona umekurupuka kutoka usingizini mpaka umekuja vamia huku karibu sana jirani unaejua kiswahili vizuri kuliko wengine ...[emoji3][emoji3]bahat = bahati
mm = mimi
alaf = halafu
manake = maana yake
hzo = hizo
ww = wewe
Haya kajifunze kwanza kuandika halafu urudi tundee na mada iliyo mezani.
Nyie wakenya mkiweza kujimudu kwenye ugali maharage ndio uje utuletee habari za barabara au miundo mbinu yenu ....bila hivo ......huna hoja ...Kwanza ngoja nikupatie angalizo; nchi zote za Afrika Mashariki ni masikini tu. Watu wetu wengi bado wanaishi kwenye umasikini mkubwa. Kwa mfano wewe hapo inawezekana umeshindia ugali maharage tena umekula mchana pekee usiku huu ujala kitu.
Baada ya kusema hayo nirudi kwenye hoja. Nairobi ni zaidi ya Dar hasa kama wewe unaangalia nafasi za kibiashara lakini pia ubora wa miundombinu. Dar es Salaam bado barabara za mitaa ni vumbi tupu. Nairobi lami hadi mitaani tena barabara zenye ubora.
Dar bado sana.
Mimi ni Mtanzania na ninasema wazi tu kwasababu watu wanaotembelea haya majiji mawili wanaona.