Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,175
- 107,756
Mzee wewe noma mpaka ufafanuzi wa kisheria unaubishia! Kuna vitu ukiwa na uelewa timamu na unasimamia maslahi mapana ya nchi huwezi kuvifumbia macho! Pita kulee... Na Mkabila wako!Sijauliza kwamba ni constitution au hapana, niliuliza sababu iliyosababisha kutomteua Tena.
Nadhani unajua kwamba CAG alikua na mgogoro mkubwa na bunge, jambo lililosababisha bunge kukataa kushirikiana na CAG.
Kumbuka kazi ya CAG ni kuangalia Kama kweli serikali inatumia pesa na rasilimali za nchi Kama ilivyoelekezwa na bunge, ripoti yake lazima ipelekwe bungeni kufanyiwa kazi na wabunge kwa kufuata maoni na mapendekezo ya CAG. Kama bunge limekataa kufanyakazi na CAG, kweli ni busara huyo CAG kuendelea kuwepo?.
Kwasababu CAG ni mteule wa rais, katika mazingira hayo ya "stalemate", ungemshauri rais afanye nini Ili kazi za kuisimamia serikali ziendelee?.
Nchi yetu Ina wanafaki wengi na Watzn Kwa asili ni waroho wa pesa na hawawezi kufanya jambo la pamoja.Swali hapa la kujiuliza ni hili, kwanini Bunge linakataa kufanya kazi na CAG wakati tu CAG katoa report yake inayoonesha kuna upotevu wa matrilioni Serikalini? Je ni kazi ya Bunge kuitetea Serikali au kuiwajibisha kwa kufuata maelekezo ya CAG?
Unataka CAG awe anaripoti kile ambacho Wabunge wanapenda? Hakuna mtu mtoto hapa kwamba eti Bunge likikataa jambo ambalo liko kisheria Hilo linawezekanaje?Sijauliza kwamba ni constitution au hapana, niliuliza sababu iliyosababisha kutomteua Tena.
Nadhani unajua kwamba CAG alikua na mgogoro mkubwa na bunge, jambo lililosababisha bunge kukataa kushirikiana na CAG.
Kumbuka kazi ya CAG ni kuangalia Kama kweli serikali inatumia pesa na rasilimali za nchi Kama ilivyoelekezwa na bunge, ripoti yake lazima ipelekwe bungeni kufanyiwa kazi na wabunge kwa kufuata maoni na mapendekezo ya CAG. Kama bunge limekataa kufanyakazi na CAG, kweli ni busara huyo CAG kuendelea kuwepo?.
Kwasababu CAG ni mteule wa rais, katika mazingira hayo ya "stalemate", ungemshauri rais afanye nini Ili kazi za kuisimamia serikali ziendelee?.
kwani inakuuma nakuona unakereka sanaaaa unawashwa etyWatu wako obsessed na kenya hapa, hadi jina [emoji23]. Hizi attentions mnazitafta kutoka kwa wakenya hamuezi zipata hapa. Hapa kuna wakenya 5 tu amabao huchangia jf na hawapo active vile
Huyu failure ana excuses nyingi sana 🤣🤣Sikiza hii zakayo 😆😆😆😆
ndio uone wakenya tulivyo wajinga sana hahahahhahaaaa ase KENYA TO ZAMBIA hahhahaha
Hii Id yako imenifanya nijichekee Hovyo
Tena wavae masufuria kichwani😂😂Wote wakenya muungane muandamane🤣🤣
hahahhaaaaa kawaida tu me ni mkenya ila naona nimejiona mjinga so soon naatoroka kenya nakuja TZ maana kenya nakula mlo mmoja ata siku mingine sikuli ase uku tabu sanaaa now nipo Namanga nasubiri mhuri niingie TZ. I'am tired as kenyaniHii Id yako imenifanya nijichekee Hovyo
Uliwaza nini!!
Kwenye hizo dual moja ina uwezo wa ku serve ndege kubwa mfano B777 na nyingine ambayo haijawahi kutumika ndio ile kubwa kabisa inayoweza ku serve A380.Na kuna baadhi ni dual air bridges labda hana taarifa tu [emoji38][emoji38][emoji38]