Eti Nairobi has clean roads than Dar, peleka hiyo perspective yako twitter au you tube uone aina za matusi utatukanwa na watu wakiwemo Wakenya wenzio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawataki kuskia Haya.🤣🤣🤣Here is a veeery honest review on the matter of dar vs nairobi…. Let everyone watch it then tupatane nyuma ya tent to discuss [emoji4]
Hizo state of the art air bridges umeziona kwanza halafu fananisha na zile za kwenu [emoji16]Huwezi fananisha jkia na huu mnanda wa soko jnia
Only thing that can't change for a long period is weather, but everything is dynamic.How is current affairs related to the comparison? Current affairs come and go and it’s something that can be sorted out if the right decisions are made but there is the long term general comparison of two areas starting from social, entertainment, infrastructure, cost of living, weather and the like
oh you mean that was an airport.....not godownsHizo state of the art air bridges umeziona kwanza halafu fananisha na zile za kwenu [emoji16]
Hehehe...tanzanians are always in denial that kenya is far more developed than them.We have challenges and we are never afraid to confront government when things are badHawataki kuskia Haya.🤣🤣🤣
Mind you, Dar is three times bigger than NairobiNot my words it’s from guys who have stayed in dar for over a year and are now in Kenya and when I say dirt roads inamaanisha un tarmacked roads. And kutukanua does not reflect the reality… just because there are areas that are dirty doesn’t mean there are no other places that are clean and it’s the majority
Hii sio Nairobi?Dah iko na njia za mchanga something right now you can’t find in nairobi even in the slums… unless it’s a newly cropping estate in a low income areas and has to be very far
Mkuu, kwani sababu ya CAG kutoteuliwa tena kuendelea kipindi chake Cha pili ilikua ni ipi?
Hii midomo yenu mipana mbn tushaizoea, kwa mfano maneno haya uliyoongea mtu asiewajua vzr anaweza kudhani unaishi moja kati ya nchi zinazojitambua kumbe unatokea Kenya and last time I checked there was demonstration for unga wa ugali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah iko na njia za mchanga something right now you can’t find in nairobi even in the slums… unless it’s a newly cropping estate in a low income areas and has to be very far
Bado ni mnanda.. Hauvutii na haujapangwa. Jnia will never expandHizo state of the art air bridges umeziona kwanza halafu fananisha na zile za kwenu [emoji16]